Nyankuru Wankuru
JF-Expert Member
- Apr 22, 2018
- 1,199
- 1,346
Nimekuwa nikimuona kwenye TV kwa matukio yake na jinsi namna anavyopambana na matukio mbali mbali mkoani Dodoma.
Kwa wale hamjawahi muona huyu afande , kumbe ni muongeaji sanaaa na mtu wa utani utani hivi.
Mchangamfu sanaa huyu afande.
Yaani kwa kifupi ni very ze comedian iseee.
Kwa wale hamjawahi muona huyu afande , kumbe ni muongeaji sanaaa na mtu wa utani utani hivi.
Mchangamfu sanaa huyu afande.
Yaani kwa kifupi ni very ze comedian iseee.