Khaa leo nimekutana live na afande murroto wa dodoma

Khaa leo nimekutana live na afande murroto wa dodoma

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2018
Posts
1,199
Reaction score
1,346
Nimekuwa nikimuona kwenye TV kwa matukio yake na jinsi namna anavyopambana na matukio mbali mbali mkoani Dodoma.


Kwa wale hamjawahi muona huyu afande , kumbe ni muongeaji sanaaa na mtu wa utani utani hivi.


Mchangamfu sanaa huyu afande.


Yaani kwa kifupi ni very ze comedian iseee.
 
kama kila ukikutana wa watu unawaona kwene TV unaanzisha thread


Mpaka mwaka uishe.........
 
Back
Top Bottom