Hisabati ni ugonjwa wa taifa mjomba hadi huku kuzimu watu hata table hawajashikadah
1991 mpaka 2019 ni miaka nane?,,,,
hahaha hata wimbo wa mama ndege ubongo kids wameshindwa kukariri hao ni wazembe.....Hisabati ni ugonjwa wa taifa mjomba hadi huku kuzimu watu hata table hawajashika
Mara ya mwisho Dynamo kuchukua ubingwa ni 1991 wakati huo wa uingereza akiwa Leeeds united https://en.wikipedia.org/wiki/Zambia_Super_League
mikia msitupigie kelele
Sasa kama akili zao wameziweka huku watapata wapi akili wanachojua ni kuwashwa tuHisabati ni ugonjwa wa taifa mjomba hadi huku kuzimu watu hata table hawajashika
Nilijua tu litakufurahisha hili ShadeeyaDoooh!!!!
UMEKOSEA MKUU NI MIAKA 28 SIO 8Mara ya mwisho Dynamo kuchukua ubingwa ni 1991 wakati huo wa uingereza akiwa Leeeds united https://en.wikipedia.org/wiki/Zambia_Super_League
mikia msitupigie kelele
hivi mtani jembe haipo tena?Nyie mliokimbia mtani jembe mlichukua ubingwa lini last time?