Khaa power Dynamo FC hawajachukua ubingwa miaka 8!

Khaa power Dynamo FC hawajachukua ubingwa miaka 8!

Mara ya mwisho Dynamo kuchukua ubingwa ni 1991 wakati huo wa uingereza akiwa Leeeds united https://en.wikipedia.org/wiki/Zambia_Super_League
mikia msitupigie kelele

Mbona wateseka hivyo nyie yeboyebo..?

Mpaka umeshindwa kuandika vizuri jamani, nyie gongowazi mna shida gani..? Haya, hapo ulitaka kuandika nini..? Maana kwenye heading ni miaka minane, kwenye main content ni tofauti kabisa na sentensi haieleweki..
 
Yaani mikia fc wangecheza na KARIOBANGE ile shughuli yote ingeingia mchanga
Yaani,
Togwa lingeingia nzi,maana kariobange sio watu wazuri hata kidogo...
 
Hisabati ni ugonjwa wa taifa mjomba hadi huku kuzimu watu hata table hawajashika
Sasa kama akili zao wameziweka huku watapata wapi akili wanachojua ni kuwashwa tu
FB_IMG_1551011926211.jpeg
 
Ivi vilabu vya kariakoo sivipendi
Ila ngoja nicheke tu kwanza izo coment
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
acha ufala amechukua 2000 na 2011 according to your link wikipedia na mechukua mara 6 huku zesco mara 7 na nkana 12
 
Back
Top Bottom