Khaaa! Kumbe bongo kuna wanaume ni wazuri aisee

Khaaa! Kumbe bongo kuna wanaume ni wazuri aisee

Nilivyoambiwa huyu ni Me kiukweli nilibaki mdomo wazi. Jamaa ni mrembo sana ata Dada zetu wengi hawamfikii
Nahisi hata mwenyewe hataki kuwa mwanaume. Na hana uzuri (handsomeness)ila anajiremba kama mwanamke.
 
Nahisi hata mwenyewe hataki kuwa mwanaume. Na hana uzuri (handsomeness)ila anajiremba kama mwanamke.
Yeah ni kweli jamaa anajuta kuzaliwa mwanaume. Dunia haifai tena aisee
 
Back
Top Bottom