Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
Inawezekana labda natakiwa nikaishi sayari ya Mars.Hivi ni lazima ukiwa na mahusiano na mwanamke umhudumie kama mwanao(sizungumzii ndoa).Leo nimekasirikiwa na dada mmoja baada ya kunilalamikia kuwa rafiki yangu ni mbahili.Mi nikamwambia,sasa unataka akupe hela kwani wewe ni mwanae au mkewe?Yule dada alisonya akanyanyuka kitini na kuniangalia kwa shari kisha akaniambia,"kumbe na wewe ni wale wale",kisha akaondoka.Hivi kwani ni lazima upewe hela?Mtu una kazi,au uko kwa baba na mama yako halafu unataka hela!Za nini?Unaweza kusaidia lakini inapoonekana kuwa unaanzisha mahusiano na mwanamke shida zote anahamishia kwako huo ni ujinga.Tujuane inapotokea dharula sio ndo nakua dingi!!