Khaaaa!!Kwani ni lazima?

Khaaaa!!Kwani ni lazima?

Asee kamanda moshi mawasiliano yakoje sasa? Maana hiyo ya kukukiss ukiendekeza unapigwa invoice ya vocha kwa kuanzia
 
Last edited by a moderator:
Ushauri wangu mwanamke anayetaka pesa ..akaolewe na mabenki na m.pesa.
 
Asee kamanda moshi mawasiliano yakoje sasa? Maana hiyo ya kukukiss ukiendekeza unapigwa invoice ya vocha kwa kuanzia

ha ha haaa..niendekeze wapi, niliachana naye mara moja maana niliona anataka kuniona mie kibuz chake...wanawake wengine wakuu akili zao zero kabisa..
 
Matokeo yake ndo hayo mtu anakuinamisha hata kwenye foleni ya magari anaku....... Just because wewe ni tegemezi
 
Back
Top Bottom