Kwanza naomba nitambue uwepo wa ma sweetlo
gfsonwin na mchango wakr kuntu, mwaaah. Nitambue mchango wa woote hapa hasa
nyumba kubwa,
Eiyer,
Purple,
Catherine,
Kunta Kinte,
Kaunga na wengneo.
Niseme tu siku hizi kuna wanawake aina mbili wanawake pesa na wanawake kawaida inapokuja kwen mapenzi.
Kama walivosema wengine kwa mwanamke ni kujiaibisha sana kama unaonekana kumfanya mwenzio ATM , i mean unampigia anaishia kukwambia "niricharge" while ilikuwa salam tu, au "simu imeibiwa ya tigo nipe basi walau elf 50 nikanunue kitochi," au leo nina hama ya chips samaki wa mlimani city hebu ni mpesa kidogo" au umeoka naye anakwambia " unajua home dada ana kiu kweli ameomba kuku na savannah 3" khhaaa! Pamoja na kukera vinaudhi hata kama
Mtu unazo unaweza kumpotezea maana malengo yake sio kabisa.
Nakubaliana na dharura flani flani ambazo ni genuine na sio vitu routine kama hivyo na unncessary, afu sasa tuma vocha uone kama utapigiwa lol mkiwa wote unaweza kushangaa tu yuko busy na mtu mwengine kwn simu and the like, kidude kwa mbinde nk hao ndo wanawake pesa sasa! Upo apo
Purple, wasikilize uzur
gfsonwin na
nyumba kubwa!
So ladies tambueni uhusiano ni wenu wawili mtu akistukia unaplay a dounle game baas kama ana akili anapotezea wapo ladies genuine kabisa hawana mambo hayo unampa mwenyewe fweza sio kama hongo but kama shukran na vizawaid coz unaona kuna fairness kwen uhusiano lol
Sijui hata nimeelewek
gfsonwin come this way mamito kwa pm.