Khaaaa!!Kwani ni lazima?

Hiyo aliyo nayo sasa
siyo full time. Akatafute kazi full-time halafu hiyo ya kupiga mizinga
wanaume aibakishe kama part-time.

This way she'll hardly ever be broke.

Kumbe na wewe ndio wale wale!
 

my dear nyumba kubwa ninachokisema mimi sio mwanamke awe tegemezi kwa mpenzi wake kwa kila kitu, wala sio awe anamuomba mpenzi wake pesa bali ninachosisitiza mimi sio vibaya mwanaume kumpa girlfriend wake pesa akijisikia kufanya hivyo bila kinyongo chochote! Mfano:labda binti amemaliza chuo bado hajapata kazi na boyfriend wake ana kazi tena nzuri tu is it a sin kwa huyo boyfriend kumsuport mpenzi wake financialy kwa wakati huo??siongelei wale wanawake wanaokua na wanaume kwa lengo la kupewa hela la hasha! Naongelea kusaidiana financialy kiroho safi kabisa huku mapenzi ya dhati yakiwepo pia!
 
Last edited by a moderator:

Danganyaneni tu!Nitakuhudumia kama nimekuoa nje hapo big NO!
 

Wewe ulishampa mara ngapi!!
 
Hapo sawa...Ni kweli..mimi boyfriend wangu ambaye sasa ni mume wangu nilimpenda akiwa hana kitu wote wanafunzi wa chuo. Ila kwa kuwa yeye alikuwa mbele yangu alipopata kazi nilijua kuwa tumepata kazi.
Kwa kifupi tulianza matanuzi kwa kutumia ela yake...matanuzi ambayo siwezi kuyaita ni kuomba ela yake kwani sijui ni kwa nini nilikuwa nimeshajiwekea kuwa chake ni changu na changu ni chake.

Point ni kuwa pesa ikiwa kigezo cha kupenda mtu lazima utajikuta una mpenzi au mume ambaye huna mapenzi nae zaidi ya nipe ela nikupe K.

 
wanaume mnamambo msipo ombwa hela mnaanza kusema atakua na mwanaume mwingine anayempa hela mbona mie huwa aniombi hela.....mkiombwa tena inakua shida!!! pia wanaume mnapenda kujishow of kua mnahela na mbwebwe kibao.
 
Kutokuzeeka si sababu ya matunzo anayokupa thrid party...nakataa

Kutokuzeeka kunaweza kuwa sababu ya genes, kujitunza wewe mwenyewe kwa kufanya mazoezi na kuangalia unavyobugia.

Na wala si kutumia vipodozi vya milioni kama obagi kwani zaidi ya kukufanya light skin vinazeesh a tu.

Mimi ni 37 na unlike tabia ya wanawake wengi kupenda kuficha umri wao..mimi niko proud kumwambia yeyote anayeniuliza nina umri gani. Hata mwanangu wa miaka mitano ukimuuliza atakwambia mummy is 37 years old. You know why...? kwanza sioni kwa nini nifiche umri wakati am not single and searching... pili naonekana 10 years younger. Na ni kwa sababu ya genes za mama yetu ambaye na yeye watu walikuwa wanakataa kuwa ana watoto tisa tena wengine wanaonekana wakubwa zaidi yake. Vile vile nafanya mazoezi ya nguvu kila baada ya siku mbili.

 
Kiukweli umegusa NYOYO za wanaume wengi...ila mi binafsi napenda mwanamke anipe yeye pesa ila simuombi...!ila mimi kutoa ningumu...bora niende Kona bar!!!
'Mali uongeza furaha ya mwanamke katika maisha'-Shaban Robert
"vox populi 'vox dei"

Hiyo ya kona bar mh!!!!!!
 
wanaume mnamambo msipo ombwa hela mnaanza kusema atakua na mwanaume mwingine anayempa hela mbona mie huwa aniombi hela.....mkiombwa tena inakua shida!!! pia wanaume mnapenda kujishow of kua mnahela na mbwebwe kibao.
Point yako apo ni ipi?
 
Haya mambo mnayaendekeza wenyewe wanaume siku ya kwanza kutongoza mnatoa elf kumi ya vocha sa kwa nini nisikufanye dingi
 
Mtu akikusimamisha akakwambia dada mimi nakupenda nataka uwe girlfriend wangu...chukua ela ya vocha hii elfu kumi...Unachukua?


Haya mambo mnayaendekeza wenyewe wanaume siku ya kwanza kutongoza mnatoa elf kumi ya vocha sa kwa nini nisikufanye dingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…