Labda kwa sababu future is not certain hivyo hakuna huruma...ni kuchuna tu...kwanza hata uhakika kama yuko peke yake hana...kinachobaki ni kukomoana tu. Lol.
Mwanaume gani amejiwekea utaratibu wa hovyo hivyo?
Girlfriend anayeomba omba ela hana sifa huyo...Hakuna mabinti ninao wa admire kama walio independent...Huwezi kufanikiwa kimaisha kama unajua kuna mjinga mjinga wa kunipa ela pindi ninapohitaji.
Sikuwahi maishani kumuomba mwanaume ela..hata nilipokuwa nina shida kimbilio langu lilikuwa ni dada na kaka zangu. You know why...Nilikuwa najua nikimwomba kaka atakuwa free kunambia kama hana...nikimuomba boyfriend ela hata kama ni kweli nina shida itamuwia vigumu kunambia hana pindi akiwa hana...na itamfanya ajione mdogo.
Hayo ndio mapenzi. Siku hizi tatizo kila mtu amekaa kimaslahi. Utasikia discourses za hajabu..ananitumia...ananichezea...lazima nimchune...yule mjinga bwana ake hamnunulii hata chupi...Lol. hivi mtu unawezaje kuwaza kuchezewa na kutumiwa na umpendaye? Kwani anakubaka?
namrudisha nikishamdroap nipo skan mara sms inaingia ooh nina shida plz naomba like 20,000/. ok nikasema si kitu nikamrushia kwa M-pesa, tumekaa siku mbili, ooh naomba hela ya saluni 30,000 ...mh nikampa, ok mara vocha sina plz naomba vocha nikamtumia ya buku 5, kumbuken hapo sijala wala hata kumkiss
nahisi nna damu ya kipare, demu hali hata sh.kumi anguInawezekana labda natakiwa nikaishi sayari ya Mars.Hivi ni lazima ukiwa na mahusiano na mwanamke umhudumie kama mwanao(sizungumzii ndoa).Leo nimekasirikiwa na dada mmoja baada ya kunilalamikia kuwa rafiki yangu ni mbahili.Mi nikamwambia,sasa unataka akupe hela kwani wewe ni mwanae au mkewe?Yule dada alisonya akanyanyuka kitini na kuniangalia kwa shari kisha akaniambia,"kumbe na wewe ni wale wale",kisha akaondoka.Hivi kwani ni lazima upewe hela?Mtu una kazi,au uko kwa baba na mama yako halafu unataka hela!Za nini?Unaweza kusaidia lakini inapoonekana kuwa unaanzisha mahusiano na mwanamke shida zote anahamishia kwako huo ni ujinga.Tujuane inapotokea dharula sio ndo nakua dingi!!
dah, nimekuwa impressed na jinsi huyu dada alivyokuwa anajua kupinga mizinga systematically kwa design ya 'chuma ulete' teh teh teh
Ukimuona sasa jinsi anavoonekana mtakatifu machoni huwez hata ukadhania ana akili matope hivo...naona alifikir mie ni kale kam-mnyama kanachopatikana Vingunguti... wakuu nikaona nijitoe tu kuepusha msongamano
jamani its true wadada wa mtindo huu wapo wengi sana. Nitoe mfano ambao mim binafsi ulinikuta...nilim-meet mdada mmoja yuko chuo mwaka wa pili, basi tukazoeana, mie nikamuintruducia kuwa nampenda na namtaka, kiukweli nilikuwa na Long plan na yeye, sikuwa na nia ya kumtumia na kumuacha. nikamwambia kabisa nia yangu na kama haitoshi nikamwambia plan zangu juu yake ni nin, sasa wakuu cha kuchosha na kufedhehesha, mtoto nilikuwa namtoa out za kufa mtu, then nam-drive back anapokaa bt simpi hela as for me i was looking for a wife materialy n not kicheche. wakuu imagine nimemtoa out kala anachotaka na kunywa anachotaka, namrudisha nikishamdroap nipo skan mara sms inaingia ooh nina shida plz naomba like 20,000/. ok nikasema si kitu nikamrushia kwa M-pesa, tumekaa siku mbili, ooh naomba hela ya saluni 30,000 ...mh nikampa, ok mara vocha sina plz naomba vocha nikamtumia ya buku 5, kumbuken hapo sijala wala hata kumkiss as nilikuwa na plan naye na i was looking tabia yake kwanza. ok siku moja si nikaomba japo kumkiss.....lol asiwaambie mtu, mtoto akaanza ooh kwanza mie nina boyfriend n nimekuelewa ombi lako but kama ulivosema now tunachunguzana kwanza kabla ya kuingia kwa commitment...oooh God have Mercy, kam una boyfriend n mim unanibania why kuniomba omba fedha, na hapo outing za nguvu umepata, why dont u go to that boyfriend of urs akupe hizo hela...?wakuu nilikata mguu mara moja na kuachana naye...sasa hawa ndo type ya kina dada wanaopenda kupewa hela tu...shame on them!!!
Unadhani..ndio maana magube gube wengi...waoaji wanakata tamaa. Najaribu kuangalia ningekuwa mwanaume ni jinsi gani ningekuwa selective...
Watatumiwa sana wakizeeka wataanza wao sasa kuonga vijana wapate ngono. Si tunawaona?. Unadhani kuchuna ni kazi ya kudumu? Wakifika 40 tu hakuna wakuwapa hata chips.
Nimeshasema hiyo ni tabia ya hovyo.Kwani hiyo simu nani anaiwekea vocha siku nyingine?
Kipipi,sijalikwepa swali lako ungenielewa ingekua poa zaidi.Sijakosea kusema ni ujinga kwa mwanamke aliye kwenye hali ya maisha niliyotaja!
Inawezekana labda natakiwa nikaishi sayari ya Mars.Hivi ni lazima ukiwa na mahusiano na mwanamke umhudumie kama mwanao(sizungumzii ndoa).Leo nimekasirikiwa na dada mmoja baada ya kunilalamikia kuwa rafiki yangu ni mbahili.Mi nikamwambia,sasa unataka akupe hela kwani wewe ni mwanae au mkewe?Yule dada alisonya akanyanyuka kitini na kuniangalia kwa shari kisha akaniambia,"kumbe na wewe ni wale wale",kisha akaondoka.Hivi kwani ni lazima upewe hela?Mtu una kazi,au uko kwa baba na mama yako halafu unataka hela!Za nini?Unaweza kusaidia lakini inapoonekana kuwa unaanzisha mahusiano na mwanamke shida zote anahamishia kwako huo ni ujinga.Tujuane inapotokea dharula sio ndo nakua dingi!!