Hahahaha! M' Jr sasa utakuwa unaniangusha lol, inamaana hujui kuwa jf nzima Bishanga ndie anaongoza kwa uzushi?... Ukianza kumwamini Bishanga walah tena utanifanya nilie ...Mi hata najua basi! Jana nimeumia sana, kwenye status ya Bishanga alidai eti una mimba kweli?
Hahahaha! M' Jr sasa utakuwa unaniangusha lol, inamaana hujui kuwa jf nzima Bishanga ndie anaongoza kwa uzushi?... Ukianza kumwamini Bishanga walah tena utanifanya nilie ...
mwenzio yuko lonely,mpe neno la kumpoza bana.Sasa huo ni utoto au utu uzima? Siuwapigie na kuwatxt wewe?
simu ya maximo ni ya mchina,haipokei sms,nitext mimi nitamforwadia,namba yangu si bado unayo?Hebu bandika namba yako hapa nikutext, nina xtreme msgs 100.
aisee leo nimeamini bad news husafiri haraka kuliko risasi,kumbe za kuachwa husn umezinyaka?Mh we si nimesikia umeachwa jana! Sio unataka kunitafutia ugomvi mwenzio kupigana sijui!
mmmmmhhhhhh!kijana unataka usaidiwe bado unakuwa na wasiwasi!
unachobisha nini,kesho nenda klinik mwanyamala utamkuta foleni.Mi hata najua basi! Jana nimeumia sana, kwenye status ya Bishanga alidai eti una mimba kweli?
mficha mimba kilio cha ng'weeee ng'weee ng'wee humuumbua,tusubiri tu!Kha! SL hiyo mimba ya kaka yangu huyu huyu naemjua mimi? Au ni uzushi? Maana hizi habari nimezisikia mbali!