Aaaaarrggrh!Nimekerwa sana alfajiri ya leo baada ya kumuona jamaa mmoja nikiwa nafanya mazoezi akikatoa kabinti kadogo sana kukasindikiza kwao,inaonekana alilala nako.Hivi wanaume sisi hivi vibinti vya darasa la saba,form one,two,three na 4,vina raha gani tofauti na karaha?Kwanza havijui kuoga,vinanuka mikojo havijui mapenzi,halafu ni kinyume na sheria,nyie mnaodeal na hivi vitoto,viacheni visomeeeee!Aaaaggghhrr!!
Kiongozi hapo kwenye RED umejuaje?Aaaaarrggrh!Nimekerwa sana alfajiri ya leo baada ya kumuona jamaa mmoja nikiwa nafanya mazoezi akikatoa kabinti kadogo sana kukasindikiza kwao,inaonekana alilala nako.Hivi wanaume sisi hivi vibinti vya darasa la saba,form one,two,three na 4,vina raha gani tofauti na karaha?Kwanza havijui kuoga,vinanuka mikojo havijui mapenzi,halafu ni kinyume na sheria,nyie mnaodeal na hivi vitoto,viacheni visomeeeee!Aaaaggghhrr!!
Kwanza hongera mkuu kwa kuanza siku na mazoezi. Wengi wetu tunaanza na supu na chapati kadhaa wakati tulilalia bia za kufa mtu.
Wanaume saa nyingine tuna matatizo kweli...hatuangalii vizuri usoni? Mtu mzee kabisa lakini binti anayetoka naye, mhh!
Mtoto wa mwenzio ni mkubwa mwenzio.
Wana makosa wazazi wa huyo binti, vipi binti yako analala nje na wewe huna habari.
Mtoto wa mwenzio ni mkubwa mwenzio.
Ulikua hujui shangazi?Hebu anza na hao binam zangu hapo home wasijeleta balaa!
Just curious..........Why are u so interested in that part?What do u think?