Kimey
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 4,117
- 833
Mwalimu mdogo mdogo tusije kuishia kule kwa mweusi muarabuNinachotaka kusema ni kuwa, si yeye wala si wewe mnaojali sheria.
Umeona point ya kuwa KWANZA hajui kuoga ina umuhimu kuliko kuwa akifanyacho ni kinyume na sheria
Na maadam tunachojali zaidi ni staarehe badala ya sheria, haya mambo hayataisha leo wala kesho