Khaaaaa!!!!!Jamani viacheni vibinti visome!!

Ahsante mwalimu wangu. Nimeshiba.
 
Gaijin,uko sawa kwa mtazamo na uelewa wako.Napenda nikuambie kuwa sio kila ambacho mtu anakizungumza na kuwa kweli sio lazima awe amefanya.Pili,inasikitisha namna ulivyo na mawazo hasi kutokana na sababu nilizotaja hapo juu,badili namna ya kufikiri utaona ujumbe mzuri ulio nyuma ya thread yangu,pia pole kwa kuziumiza hisia zako inawezekana nimekukumbusha mambo ambayo uliyafanya huko nyuma na sasa unayajutia na unachagua kuwa na hasipa ili kukabiliana na majuto hayo!Pole kama nitakuwa sahihi na nitakua nimekutonesha,njia nzuri ni kusahau yaliyopita na kuanza maisha mapya!
 
Gaijin,uko sawa kwa mtazamo na uelewa wako.Napenda nikuambie kuwa sio kila ambacho mtu anakizungumza na kuwa kweli sio lazima awe amefanya.

Hilo ushalisema mara saba wa sabiini, lakini ni sawa na kutwanga maji kinuni kwa sababu hujielezi umejuaje hadi kutujia na maelezo yako kwenye thread hii

Pili,inasikitisha namna ulivyo na mawazo hasi kutokana na sababu nilizotaja hapo juu,badili namna ya kufikiri utaona ujumbe mzuri ulio nyuma ya thread yangu

Umejiuliza kuwa inawezakana anaetakiwa kubadilisha namna ya kufikiri ni wewe? Tafakari kidogo; ni sahihi kwa mtu kutetea wanawake kwa kuwadhalilisha hao hao wanawake?


Endelea kujifariji
 

Ndugu,

Nadhani wewe ndio wa kujiangalia vizuri. Thread umeiandika kwa haraka mno na nitakwambia kwa nini. Wewe umetoka ulikotoka(sijui nyumbani kwako au hotelini) na kuamua kufanya mazoezi. Ghafla unaona mtu mzima ''anamtoa''(sijui anamtoa kwenye nini geti au kopo) binti mdogo kama ''anamsindikiza'' kurudi ''kwao''. Haraka ukajenga imani kuwa atakuwa amelala nae. Hili ni kosa kubwa la kuhukumu unless unataarifa zaidi ambazo hujaziweka kwenye thread yako. Vipi kama hao ni mtu na mzazi au ndugu yake? Kwani kusindikiza mtu mpaka kuwe na uhusiano wa kimapenzi?

Madhara ya thread yako ni kuwa wachangiaji wenye haraka za kujibu tayari wanamshambulia huyo ''binti'' na hata wazazi wake pasi na lazima. Hebu jaribu kuiweka vizuri thread yako.
 
hahahaha I closed my case..lol
Ngoja nimuachie Mwalimu wangu aendelee kukuelewesha....may be you will get a point some where!!

Okay,let see!
 
COMARADERIE,nilisema "inaonekana anakasindikiza kwao" wewe umeelewa nini hapo?Suala la kunuka mkojo,uchafu ni suala umri na uzoefu wa maisha,huwezi kuwa msafi(kuusafisha mwili wako ipasavyo)bila kukua na kujifunza ambako kunahitaji muda,kujua haya sio mpaka uwe umejiingiza kwenye vijendo hivyo!
 
Gaijin,hebu niambie,kusema kunuka mkojo ni kudhalilisha?Kusema ni wachafu ni kudhalilisha?Kusema hawajui mapenzi ni kudhalilisha?Ni lazima kuna kitu kwenye akili yako kinakusumbua kama uko serious!
 
Huo ni umbea, thibitisha kama alikatoa asubuhi baada ya kukaninihii usiku.
 

Mkuu niliwahi kuwa na dada yangu hotelini tunakula akaja jamaa yangu baada ya kunisalimia akamgeukia sista na kumwambia hali yako shemeji-nilitamani ardhi ipasuke niingie!!!
 

Dada gud mrng!...Kama mzazi anashindwa kujua tabia ya mwanae hafai kuitwa mzazi!
 
Gaijin,hebu niambie,kusema kunuka mkojo ni kudhalilisha?Kusema ni wachafu ni kudhalilisha?Kusema hawajui mapenzi ni kudhalilisha?

Ni sifa njema?

Ni lazima kuna kitu kwenye akili yako kinakusumbua kama uko serious

Endelea kujifariji
 
Mkuu niliwahi kuwa na dada yangu hotelini tunakula akaja jamaa yangu baada ya kunisalimia akamgeukia sista na kumwambia hali yako shemeji-nilitamani ardhi ipasuke niingie!!!

Ndio silka moja na huyu Eiyer. Akiona mwanamme na mwanamke akili yake inarukia ngono tu
 
hana wazazi huyo unayesema ni mtoto,maadili yameporomoka watoto wa DOTCOM

Inawezekana ana wazazi huyo,na watakua wazazi wa DOTCOM tu!!
 
kule kwetu tuna msemo ambao naomba niuandike kwa kiswahili japo si fasaha.....mfukuze chui, mfukuze na mbuzi pia.... simply ni kwamba usilaumu huyo jamaa tu mlaumu na huyu binti pia...mimi ni mwalimu kitaaluma na nimefundisha pia lakini ukweli ni kwamba watoto wetu siku hizi hawana maadili kabisa, usipokataka basi kenyewe katakutaka< nashukuru niliacha ualimu salama. Kuna haja kubwa sana ya kuwafundisha watoto wetu maadili tokea nyumbani kwetu na sio tumtegemee mwalimu pekee na wazazi hawa wengine siku hizi ndio hao wamegeuka MBWA mwitu, tumuombe sana MUNGU
 
Ungempiga picha ingekuwa safi sanaa, ahsante sana na endelea na moyo huo ila hebu waumbue kwa kuwapiga picha

I wish i could,but sikujua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…