Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe haya ni mautamueeee!
kwanza huyu jamaa alikuwa hafanyi mazoezi........ukisoma kwa makini thread yake mtagundua hilo....
Aaaaarrggrh!Nimekerwa sana alfajiri ya leo baada ya kumuona jamaa mmoja nikiwa nafanya mazoezi akikatoa kabinti kadogo sana kukasindikiza kwao,inaonekana alilala nako.Hivi wanaume sisi hivi vibinti vya darasa la saba,form one,two,three na 4,vina raha gani tofauti na karaha?Kwanza havijui kuoga,vinanuka mikojo havijui mapenzi,halafu ni kinyume na sheria,nyie mnaodeal na hivi vitoto,viacheni visomeeeee!Aaaaggghhrr!!
Na hicho kitoto kwao kiliaga kinaenda wapi mpaka kikaruhusiwa kutoka..?????
Kumbe kweli maadili yanaanzia home ..
mambo??
.
Hivi comments za kushabikia namna hii, mnazitoa kwa sababu mabinti/dada zenu hamuwafanyii/hawafanyiwi hivyo sio?? I wish I could be a magistrate halafu niletewe kesi ya namna hiyo......bahati nzuri na mtuhumiwa uwe ni wewe......UNGEJUTA nakwambia!!!
Duh! - sipati picha! ..... yaani ndio nyie ambao wakati mnahukumu washitakiwa .. huwa mnasema ili kutoa fundisho kwa watu wenye tabia kama hii .... nakuongezea adhabu ya kifungo ..... etc
.
msilaumu wazazi wakat hamjui mazingira atokayo huyo dogoWazazi wa aina hii hawafai kabisa!
Tabia ya mtu hujengwa na mzazi!