Khadija mnoga: Natumia dume nakunywa viloba

Khadija mnoga: Natumia dume nakunywa viloba

Hizi picha za 2016...Uzi wa 2013
kimobitel-20190821-0002.jpeg
kimobitel-20190821-0001.jpeg
 
Kuna siku nimewaona feri na Badi Bakule kifupi wote wamechoka na walikuwa hawaeleweki wanaenda au wanarudi nadhani hata wenyewe walikua hawajui kama wanaenda au wanarudi! Kwa jinsi walivyochoka

Rafiki umepoteaaa
 
Wana hali mbaya kuna siku moja na cheki mpira kwenye bara ya TIOT,si ndio na waona wanapiga show yy na Bad Bakule.Wasanii wa bongo fleva kuna la kujifunza hapa.
 
Back
Top Bottom