PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Kuna siku nimewaona feri na Badi Bakule kifupi wote wamechoka na walikuwa hawaeleweki wanaenda au wanarudi nadhani hata wenyewe walikua hawajui kama wanaenda au wanarudi! Kwa jinsi walivyochoka
Rafiki umepoteaaa
Best nilikumbwa na kimbunga cha vyeti feki!