Khadija Mwanamboka aipeleka Samia Fashion Festival Zanzibar, kufanyika Novemba 30, 2024

Khadija Mwanamboka aipeleka Samia Fashion Festival Zanzibar, kufanyika Novemba 30, 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Naona sasa hivi habari ya mjini ni kuwa chawa tu, mambo ya maana wanaweka pembeni utafikiri kwenye vichwa wamejaza kamasi pekee, ni huzuni!

=====



Khadija Mwanamboka kuipeleka Samia Fashion Festival Zanzibar.

Kwa vimbwanga na vituko vingine kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ruka hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
Back
Top Bottom