Cute Wife JF-Expert Member Joined Nov 17, 2023 Posts 1,906 Reaction score 5,000 Nov 28, 2024 #1 Wakuu, Naona sasa hivi habari ya mjini ni kuwa chawa tu, mambo ya maana wanaweka pembeni utafikiri kwenye vichwa wamejaza kamasi pekee, ni huzuni! ===== Your browser is not able to display this video. Khadija Mwanamboka kuipeleka Samia Fashion Festival Zanzibar. Kwa vimbwanga na vituko vingine kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ruka hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Wakuu, Naona sasa hivi habari ya mjini ni kuwa chawa tu, mambo ya maana wanaweka pembeni utafikiri kwenye vichwa wamejaza kamasi pekee, ni huzuni! ===== Your browser is not able to display this video. Khadija Mwanamboka kuipeleka Samia Fashion Festival Zanzibar. Kwa vimbwanga na vituko vingine kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ruka hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mwamuzi wa Tanzania JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 15,486 Reaction score 45,256 Nov 28, 2024 #2 Najuta kuwa Mwafrika
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 12,181 Reaction score 20,148 Nov 28, 2024 #3 Fashion ni mambo ya ushoga na kusagana, watajuana wenyewe.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Nov 28, 2024 #4 Salama ya Tanganyika ni kuitoa ccm madarakani