Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Mgombea Ubunge jimbo la Kibaha Mjini kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Khadija Rungwe amesema wakaazi wa jimbo hilo wanahitaji maendeleo ya elimu, afya, ajira na miundombinu.
Amesema wanahitaji kuichagua Chaumma ili kupata maendeleo hayo hivyo waachane na Chama cha Mapinduzi CCM.
Akizungumza kwenye mkutano wa kampeni mkoani humo amesema mwaka huu chama hicho kimedhamiria kuing'oa CCM madarakani.