Changamoto za upumuaji once again...
R.I.P
Kwa hiyo wewe hutakufa..watu wote wanaokufa sabab ni hiyoChangamoto za upumuaji once again...
R.I.P
Rip!Rais mstaafu Jakaya Kikwete anatangaza msiba wa kaka yake ndugu Khalifan Seleman Kikwete uliotokea leo asubuhi. Msiba upo Msasani kwa Rais huyo mstaafu.
Inna lilahi waa inna ilaihi rajiuunRais mstaafu Jakaya Kikwete anatangaza msiba wa kaka yake ndugu Khalifan Seleman Kikwete uliotokea leo asubuhi. Msiba upo Msasani kwa Rais huyo mstaafu.