TANZIA Khalfani Seleman Kikwete ambaye ni kaka wa Rais mstaafu Kikwete afariki dunia

Unamaanisha yule mwanae na Kikwete?
 
Wote Ni wa MUNGU. Mbele yake nyuma yetu.
 
Ukiona mtu anataka sana serikali itangaze corona na kuishikia bango jua huyo hana ajira..anataka makampuni yafungwe na kupunguza wafanyakazi ili mkutane mtaani.
 
Kwan? Uyo khalfani ana kwake mpka msiba ufanyikie kwa JK.
 
Poleni sana Tatu na familia ya Kikwete.

RIP mzee Selemani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…