Khalid Aucho yupo wapi?

mwanausangi

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2021
Posts
548
Reaction score
608
Wanayanga wenzangu,

Mchezaji wetu hatari na daktari wa mpira Khalid Aucho mganda huyu yuko wapi? Au ni majeruhi?

Tunammiss sana fundi wetu huyu mwenye kiwango bora kabisa ambaye huezi mfananisha na takataka zozote za MAKOLO FC.

Mwenye kujua atufahamishe wanayanga tujue!
 
Kiungo wa Yanga Khalid Aucho amesema hana tatizo na Yanga na pia anafurahia

"Sina tatizo na klabu ya Yanga, Siendi popote kwa sasa sababu nina mkataba na Yanga SC Pia nina furaha ndani ya Yanga na ninaipenda Yanga" Khalid Aucho
 
Kasema haya lini na akiwa wapi? Je, yuko kambini? Nikiwa shabiki kindakindaki wa yanga nashindwa kuelewa
 
Kwani Aucho mwenyewe anasemaje? Huyu hapa
 
Attachments

  • Instagram(3).mp4
    2.4 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…