mdundo ngoma sana
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 1,002
- 955
Mkuu vipi umeenda na ulanzi hukoNimeangalia show TBC ya club raha leo, nimegundua Chokoraa ni mpiga show hatari sana Tanzania.
Nipo masomoni Marekani nikirudi namtafuta aseee.
Hongera sana watanzania kwa kubarikiwa vipaji, huo wimbo wa akina Said Mwamba naupata wapi wadau?