PreGE2025 Khalid Shekoloa achukua fomu kuwania Udiwani kata ya Kisusa Manispaa ya Moshi, Kilimanjaro

PreGE2025 Khalid Shekoloa achukua fomu kuwania Udiwani kata ya Kisusa Manispaa ya Moshi, Kilimanjaro

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Kada wa chama cha mapinduzi (CCM) Khalid Shekoloa, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea udiwani kata ya Kiusa, iliyopo maanispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro

Shekoloa ambaye ni mwenyekiti wa CCM wa kata hiyo na pia mwenyekiti wa mabalozi wa usalama barabarani (RSA), anasaka kura za wajumbe kwa awamu ya pili, baada ya kujitokeza tena mwaka 2020

kiusa.png
 
Back
Top Bottom