Khaligraph Jones is underated

Huyo jama kaja juzi tu lakin sasaivi ndio anaonekana kama east africa iconic rapper, sababu ana hasira na game ivo ana push harder than tanzania rappers amabao wamesanda kujiblow internationally. bless to him afike mbali OG!
 
'Makaveli in the fresh without piercing on the nose'
Anajitambulisha hivyo kwenye line yake inayopatikana kwenye wimbo wake wa"Lwanda Magere".
Kaligraph ni beast siyo siri.
 
Yes safi sana, hakuna kulazimisha na kubana pua/koo kama akina diamond. wako natural kama waimbaji wa enzi za Less Wanyika/Simba wanyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…