Khaligraph Jones is underated

Khaligraph Jones is underated

Kutoka Kayole hapo alipofika imetosha, kwanza anamuiga Wakazi tu... disrespect the OG.
Eti nini wewe!? Kwamba kJ anamuiga wakazi kuflow [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hiki kichekesho Cha karne
 
Eti Nini wewe !? Kwamba kJ anamuiga wakazi kuflow [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hiki kichekesho Cha karne

Tulishakubaliana na kufunga huu mjadala, kaa kwa kutulia.
 
YES BANA NDIO MY THEME SONG....Jones ni hatari....Nasikiza nyimbo zake hapa, this dude is fireee
 
Back
Top Bottom