Khaligraph Jones is underated

Huyo jama kaja juzi tu lakin sasaivi ndio anaonekana kama east africa iconic rapper, sababu ana hasira na game ivo ana push harder than tanzania rappers amabao wamesanda kujiblow internationally. bless to him afike mbali OG!
Tangu 2013 anatisha
 
Sio wa juzi huyo mkongwe sana tuu uyo
 
Huku Afrika Mashariki wanaowika ni MA FIRIMASONI wants wakana na kuwatelekeza baba zao na kufanya wanatoa misaada kwa MACHAWA wane wanaowasifia, wanaoimba nyimbo zisizo na ujumbe wowote wa maana bali mafumbo ya maneno mabaya ya kiswahili ndio wanaabudiwa lila wakieda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…