Khaligraph Jones (kenya)

Issuna

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
3,203
Reaction score
7,628
Huyu kiumbe kusema ukweli acha ajiite OG..n kweli ni OG maana rap zake hazijawahi niacha salama,ninapo msikiliza ahisi raha ya kua mwanamuziki YES una u feel ule mzki unavyopenya halafu ukijumlisha Hit zake kwenye Spika ndio balaa kabisa ukiwa na MUSIC SYSTEM ya kueleweka ukaweka nyimbo za huyu mtu unaeza jihisi upo studio



Mtu mwingine ni wa nyumbani huyu hajatoka mbali nae najikuta namuelewa anajiita mbunge wa binadamu mpaka wanyama Proffesor J (wa mitulinga),

Huyu mshua nae napenda flow zake ila beat za nyimbo zake hazijakaza kama za Khaligraph...

Yote kwa Yote Khaligraph namba ingine.




Mwite SUPER MAN au O.G

my favourite hits ni "zote" ila hasa ambazo kaua peke ake bila shirikisha mtu

END.
 
Naikubali sana Rider akiwa na yule Madafada Petra,Pia Marioo remix
 
Kwenye ule wimbo alioshirikishwa na Masauti mbona anaonekana ana mwili mdogo. Au ndio mambo ya 360 ?
 
Kwenye ule wimbo alioshirikishwa na Masauti mbona anaonekana ana mwili mdogo. Au ndio mambo ya 360 ?
Khaligraph ni mfupi...sio giant kama unavyomuona kwenye video zake..kamzd stamina centimeter 5
 
Mwambie akuoe tu
 

Pero ahora estoy pal' krippy, krippy, krippy, krippy, krippy
También tenemos kush, kush, kush, kush, kush
Lo' gansters quieren krippy, krippy, krippy, krippy, krippy
To'a las putas quieren kush... (Jajaja) (¡Yeh! ¡yeh! ¡yeh!)"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…