Issuna
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,203
- 7,628
Huyu kiumbe kusema ukweli acha ajiite OG..n kweli ni OG maana rap zake hazijawahi niacha salama,ninapo msikiliza ahisi raha ya kua mwanamuziki YES una u feel ule mzki unavyopenya halafu ukijumlisha Hit zake kwenye Spika ndio balaa kabisa ukiwa na MUSIC SYSTEM ya kueleweka ukaweka nyimbo za huyu mtu unaeza jihisi upo studio
Mtu mwingine ni wa nyumbani huyu hajatoka mbali nae najikuta namuelewa anajiita mbunge wa binadamu mpaka wanyama Proffesor J (wa mitulinga),
Huyu mshua nae napenda flow zake ila beat za nyimbo zake hazijakaza kama za Khaligraph...
Yote kwa Yote Khaligraph namba ingine.
Mwite SUPER MAN au O.G
my favourite hits ni "zote" ila hasa ambazo kaua peke ake bila shirikisha mtu
END.