Khaligraph Jones (OG) the best hiphop artist in Africa

Kuna nn kwani mkuu em nipe summary kidg ana beef na uyo jamaa au nn

yess BiShoo haswaaA
 
Nataman kujua maana namkubali sana khaligraph
 
Kweli nimepitwa na mambo mengi..

Yaani sielewi kitu hapa..
 
pancho boy,
Kuna msanii mmoja ya Nigeria ambaye pia alikuwa category moja na khaligraph Jones kwenye tuzo SOUNDCITY ya Nigeria alipinga ushindi wa khaligraph Jones na kumuongelea vibaya ndipo khaligraph Jones akaamua kutengeneza diss track kwa huyo rapper mnigeria ndo akaiita jina la the best hiphop in Nigeria.
 
tuzo si juzi tu?
Mara hii katunga mistari saa ngap?? Duh
 
Naona jamaa hataki utan amemuwashia kweli moto mwanamuziki wa hiphop kutoka Nigeria Blackbone. Na nnachoona mpaka sasa mchezo keshautawala yy

#Respect OGs wanigeria lazima waelewe tu wanajiona wao ndo kila kitu now wamepatikana
Umesikiliza lakini reply ya Blaqbonez? Nimeanza kumfaham blaqbonez kwenye zile MARTEL CYPHER zinazoongozwa na MI ABAGA, Blaqbonez kiukweli anaandika sana. Na hata ukicheki reply yake kwa bars kamkalisha Jones, ila Jones anajua kuwasilisha vizuri mistari yake
 
Embu iweke hapa! Acha porojo
 
acha uongo blaqbones kazidiwa punchline
 
Kuna nn kwani mkuu em nipe summary kidg ana beef na uyo jamaa au nn

yess BiShoo haswaaA
huyo jamaa blackbons alidiss baada ya kaligragh kupewa tuzo ya mwana hip hop bora afrika kwenye tuzo za sound MVP kuwa hakustahili kupewa kaligragh bali yeye ndo alistahili na yy ndo mwana hip hop bora Africa ko Mr OGs kamwambia amuombe msamaha vinginevyo atawadis wasanii wa hip hop wote wa Nigeria akianza na yy
 
mmmmh ila khaligraph ni mnoma kuanzia flow zake hadi mistari
 
Kaligraph anaonekana amepanic sana mpaka kaharibu.

Kakurupuka kutoa diss track, ambayo content zake zinaleta mantiki tofauti kabisa. Content ya ngoma Plus alivyokurupuka zinaonyesha kama jamaa anatafuta attention ya Wanigeria.

By the way ya wasanii ni mengi, unaweza kukuta no beef just drama tu to create public stunt.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wekeni izo diss tracks zote mbili hapa fyade
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…