herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 1,967
- 3,212
Naona jamaa hataki utani amemuwashia kweli moto mwanamuziki wa hiphop kutoka Nigeria Blackbone. Na ninachoona mpaka sasa mchezo keshautawala yeye
#Respect OGs, wanigeria lazima waelewe tu wanajiona wao ndo kila kitu now wamepatikana.
#Respect OGs, wanigeria lazima waelewe tu wanajiona wao ndo kila kitu now wamepatikana.