Tutake radhi wabongo kumfananisha albert mangwair na khaligraph ni sawa na kufananisha MBINGU na NCHI...acha na 120m/sCurently katika hiphop ya kenya kuna rapper anaitwa khaligraph jones..naona anikimbiza industry ya hiphop kenya..then taratibu ana pentrate kwnye soko la bongo...ngoma kama mazishi..mask off(toa tint) ni baadhi ya track zinazo mfanya awe ameshika soko la kenya...nafkiri huyu chalii kibongo bongo angeweza pambana na NGWAIR peke ake..hiphop ya bongo imeshuka flan ivi..ushindani umeshuka balaa...nafkiri wasanii wakibongo they have alot kujifunza kwa huyu mchzi
Yes. Tatizo la Wakenya wanapenda Sana domination. Eti Khaligraph anafananishwa na Mwamba Albert Mangwea?? [emoji42]Charity begins at home...
RIP Ngwair
Ni kumkosea heshima legend ngwairYes. Tatizo la Wakenya wanapenda Sana domination. Eti Khaligraph anafananishwa na Mwamba Albert Mangwea?? [emoji42]
Dah washatoa rmx ngoja niitafuteMicasa sucasa, best song, best flow from kaligraph Jones, huyu jamaa kama akiwa serious hata akina Casper nyovest, sarkode wanasubiri. Hapa nilipo nasikiliza rmx ya one time Rosa Lee ft kaligraph Jones, bonge la nyimbo.
Unachokisema ni sahihiNikki mbishi anzingua siku hizi. Hes no longer serious..dada pumzisha mwili wako...ngoma ngona sasa hiyo. Tena official release..huyu cgakii sijui nn kimempata