Khaligraph jones vs albert mangea(ngwair)

Khaligraph jones vs albert mangea(ngwair)

Unafiki pembeni, zaidi ya freestyle ambapo ndio hakuwa na mpinzani, kwenye rap Ngwair anasubiri kwa watu wengi tu Bongo. Na Khaligraph bado hajafika level za Ngwair.
Yah free style ilimbeba sana Ngwea however ni mkali pia.
Lakini Ngwea asifananishwe na S.Bleachers... Nikitizama ktk list yangu kuna wakali wengi sema kwa sasa mziki upo ktk mikono ya kikundi cha watu fulani wakiamua uwe star unakuwa hata kesho yake.

D.Coper ulishawai kumfikiria one the Incredible mkuu siku atakapo msujudia kaisari wa mziki wa bongo atakuwaje ?
 
One hajawahi kuni-impress. Anachana ndio, lakini hakuna cha maana anachosema. Design ya Big L hivi.
 
Mkuu unajua Ngwea ilikuwa ni Freestyle iliyombeba na P. funk
 
Curently katika hiphop ya kenya kuna rapper anaitwa khaligraph jones..naona anikimbiza industry ya hiphop kenya..then taratibu ana pentrate kwnye soko la bongo...ngoma kama mazishi..mask off(toa tint) ni baadhi ya track zinazo mfanya awe ameshika soko la kenya...nafkiri huyu chalii kibongo bongo angeweza pambana na NGWAIR peke ake..hiphop ya bongo imeshuka flan ivi..ushindani umeshuka balaa...nafkiri wasanii wakibongo they have alot kujifunza kwa huyu mchzi
Wewe ni mkenya!?
 
Pale hip Hop ya Kenya namuelewa zaidi King Kaka....Kali graph akijitaidi atafika level za King kaka na sio level za Ngwea
 
Curently katika hiphop ya kenya kuna rapper anaitwa khaligraph jones..naona anikimbiza industry ya hiphop kenya..then taratibu ana pentrate kwnye soko la bongo...ngoma kama mazishi..mask off(toa tint) ni baadhi ya track zinazo mfanya awe ameshika soko la kenya...nafkiri huyu chalii kibongo bongo angeweza pambana na NGWAIR peke ake..hiphop ya bongo imeshuka flan ivi..ushindani umeshuka balaa...nafkiri wasanii wakibongo they have alot kujifunza kwa huyu mchzi

Mnamzungumzia NGWEA yule ambaye MADAWA YA KULEVYA ya akina MAWINGU yakamuondoa duniani au yupi?

Mnamzungumzia yule ambaye Hata PRODYUZA mmoja alisema nyimbo Zake zisipigwe CLOUDS???? kurokana na CLOUDS hii ambayo Leo tunaitetea kusababisha kifo chake?
 
Bado hataweza kufikia sababu mziki wa bongo una vichwa ambavyo havisikiki kwenye media sana na uwezo wa Jones ni sawa na gnako tu
 
khaligraph ni mkali sana, tena sana. Yan ngwair japo alikuwa mkali, lakini kwa huyu jamaa anakaa.
 
Kaligraph ni moto... Tena wa kuotea mbali. Wengi hapa hamjamjua vizuri. Mfuatilieni U tube.

Ngwair hakuwahi fika level hizi.
nakubaliana na wewe asilimia zote.
mi kwa bongo, sioni kwa kumlinganisha na huyu jamaa kwa sasa
 
Nikki mbishi anzingua siku hizi. Hes no longer serious..dada pumzisha mwili wako...ngoma ngona sasa hiyo. Tena official release..huyu cgakii sijui nn kimempata
jamaa is so full of himself ndo maana anazingua, amezidi ujuaji.
 
RIP Manguair
Mazengo moja

Azimio
Mwenge
Mwongozo
Muungano
Ujamaa

Ng'ambo
Assemby hall
Waunga
Pavilion
Mazengo P
 
Ooy Khaligraph bado Mchanga Sana yaan umekosea Sana kumfananisha na Albert Mangwea. Muziki wa Kenya ni wa Msimu tuu. Huwezi Sema Eti Hip-hop bongo imeshuka wakati kila kukicha wanazaliwa Rappers wapya tena wenye vipaji haswaaaa. Labda Kalighraph ungemlinganisha na ChinBeez [emoji35]
Unamjua papa jones vizuri kweli mkuu?

Tuacheni uongo mazee, this time hakuna M'bongo anafikia nusu ya uwezo wa kaligraph aisee
 
Ukiangalia tu rappers waliopata kupita kwenye dk 10 za maangamizi utajua kwa kweli Tz kwa sasa hamna rapper anaweza kugusa levo za papa Jones.

Kuanzua freestyle, flow, content ya lyrics na hata pumzi.

TZ tumebaki na ma rapper wa studio tu. Ukiwaweka LIVE yoyoo nyingi afu wanarudia mistari ya truck zao tuu reffer YOUND DEE na J MO kwenye dakika 10 za maangamizi E.A radio (planet bongo)

PAPA JONES ni hatari aisee
 
Back
Top Bottom