James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Yah free style ilimbeba sana Ngwea however ni mkali pia.Unafiki pembeni, zaidi ya freestyle ambapo ndio hakuwa na mpinzani, kwenye rap Ngwair anasubiri kwa watu wengi tu Bongo. Na Khaligraph bado hajafika level za Ngwair.
Lakini Ngwea asifananishwe na S.Bleachers... Nikitizama ktk list yangu kuna wakali wengi sema kwa sasa mziki upo ktk mikono ya kikundi cha watu fulani wakiamua uwe star unakuwa hata kesho yake.
D.Coper ulishawai kumfikiria one the Incredible mkuu siku atakapo msujudia kaisari wa mziki wa bongo atakuwaje ?