Khaligraph jones vs albert mangea(ngwair)

Anabebwa na English tu lakn ni levo za madogo
Hapana jamaa ana swag " na flow Kali .... Kitu ambacho wa bongo wengi hawana .. Pia huwa ana change flow katika mistari Yake ..Akiimba mistari minne flow hii. .basi mistari minne Ijayo anadondosha midondoko mingine '' Tena kwa swag na Flow Kali sana ... .....

Wabongo wengi wana rap but flow ina weza kuwa ile ile au ikachange Mara 1 katika verse nzima na swag ni 0...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Exactly kabisa .... Hiki ndio Ambacho huwa nakiongea kuhusu papa jones

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana ngwair kibongo bongo alikuwa anajua sana ..nampaka leo hii hao ma-star wenyewe wa Mziki wa bongo wana kubali kuwa ngwair yupo kwenye Top 2 ya wasanii wakali kuwahi kutokea Tz akiwa nyuma ya prof Jay (niliwahi kumsikia FA akisema hivi) ...... Ngwair alikuwa ni game changer ndiye msanii aliye leta mziki wa swag tz awali ma-mc walikuwa wana andika lakini flow ambazo zina support u- gangster only ....

Ngwair akaja na Aina ya uandishi unaohusu Bata.swag. na mapenzi ' Na akaliteka soko ...licha ya hivyo ngwair alikuwa na talanta kubwa sana ..Alikuwa anaweza ku-rap .kuimba style kama R&B Na ragga at the same time na bado akatoa nyimbo hits ..kitu ambacho wasanii wengi hawana ....

Ila hapo kwa Papa Jones ' I declare to say this " Papa Jones ni mkali sana kwa flow kuliko ngwair .. As you know Uandishi wa muziki wa sasa sio ule uandishi unao ongelea visa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemaliza kila kitu kiongozi.
Ila "wabishi" watasema sisi ni Kenyans.
 
Jones haingii kwa Ngwea hata nusu Ngwea alikua Next Level kipaji cha hali ya Juu sana.
 
Bora ungesema swag ila flow umechoma mzee baba.
Jamaa anaflow moja hata dem wangu akiiga najua kabisa hiyo flow ya khaligraph au wakazi....
 
Acha utani jombaa.
Bongo haina mwanahiphop wa kumlinganisha na Khaligraph Jones,jamaa ni mnoma sana.
Nimemfaham kaligraph johnes kitambo Sana kuanzia enzi hizo ana Bifu zitto na Octopizo.. Kali alikuwa pure underground akifanya Sana Freestyle Battle ...


Kipindi hicho Bongo tayari kulikuwa Kuna mnyama anaitwa SLIM SAL kutokea Dom , huyu mtu anafany Kama anavyofanya Klaigraph Jones kwa kila Kitu .... So kaligraph siamini Kama anazidi rapers wote wa Bongo labda useme walio kwenye mainstream ila kuna watu ni hatari Sana ....

Mimi ukiniambia ni rapper gani ni Bora kwa bongo (Kwa swagz) namuweka SLIM SAL , nakuomba utafute nyimbo zake halafu uje na mrejesho ... Kwasasa Yuko Tongwe Records anapika Madude ya Maana ... Kila Trap inayotoka Tongwe ni mkono wake....



Muda mwingine kuvuma huwa inaenda Kama upepo miaka flani Sarkodie alikuwa Juu Sana ila kwasasa Kama kashuka japo Nina amini africa haijawahi kuwa na kichwa Cha freestyle Kama kile ... Msanii pekee kutokea Africa kuwa featured kwenye BET cypher ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…