GE2025 Khamis Masoud: Kupiga kura ni jambo la kikatiba

GE2025 Khamis Masoud: Kupiga kura ni jambo la kikatiba

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mkurugenzi wa Everlasting Legal Aid Foundation, Dokta Khamis Masoud, amezungumzia umuhimu wananchi kupiga kura pamoja na madhara ya vurugu na maandamano wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani Jumatano ya Oktoba 29 mwaka huu.
 
Back
Top Bottom