Khamis Masoud: Polisi ni mlinzi wa sheria na HAKI na siyo mkandamizaji

Khamis Masoud: Polisi ni mlinzi wa sheria na HAKI na siyo mkandamizaji

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Ni vyema kufanya kazi kwa kuzingatia sheria na maadili ya utumishi wa umma bila kusahau miiko ya uongozi. Sheria ni ulinzi siyo silaha, polisi ni mlinzi wa sheria na haki na siyo mkandamizaji. Watumishi wa umma wanapaswa kulinda siri za serikali.

Asema, Dr. Khamis Masoud, Mkurugenzi wa Everlasting Legal Aid Foundation.
 
Back
Top Bottom