GE2025 Khamis Mgeja amvaa Balozi Polepole, amtaka awaombe radhi Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
View attachment 3414456
Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Khamis Mgeja amemshukia Balozi Hamphrey Polepole, akimtaka awaombe radhi wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kwa kauli aliyoitoa yenye lengo la kukivuruga chama.

Mgeja alisema hayo tarehe 21 Julai 2025 wakati akitoa maoni yake kuhusu kauli ya Polepole ambaye pamoja na mambo mengine alibeza utaratibu uliotumika kupitisha jina la Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea pekee wa kiti cha Urais kupitia CCM.

Katibu huyo wa zamani wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, pia alibeza uteuzi wa Dk. Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea mwenza na alibeza pia uteuzi wa Dk. Hussein Ally Mwinyi kuwa mgombea pekee wa urais visiwani Zanzibar.

Mgeja ambaye yuko nchini India akipatiwa matibabu alisema Rais Samia, Dk. Nchimbi Dk Mwinyi ni wagombea halali kupeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi mkuu Oktoba mwaka huu chama hicho kitapata ushindi wa kimbunga.

Amesema "Mimi Khamis Mgeja ni kada wa CCM, nimewahi kuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa Shinyanga na Njumbe wa NEC taifa, bado nipo nchini India kwa ajili ya matibabu. Pamoja na kwamba niko kwenye matibabu nimemsikiliza aliyekuwa Polepole akituhumu kwamba kuna mambo hayako sawa ndani ya chama na Serikali.

"Na hasa kubwa zaidi analalamikia mchakato wa kuwapata wagombea urais kupitia mkutano mkuu wa CCM kwamba uteuzi wao haukuwa halali na ulinajisiwa kwa kuvunja Katiba na anasema hadi leo hajawapongeza wagombea hao.

"Kwangu mimi naona Polepole haijui vizuri Katiba ya chama na inawezekana hajawahi kuisoma zaidi ya kufahanu utamaduni na desturi za chama tu jambo ambalo amejidhihirisha kuwa uwezo wake ni mdogo sana wa kuifahamu katiba ya CCM na kuitafasiri kwa usahihi," alisema Mgeja.

Aliongeza kuwa uelewa mdogo alionao Polepole katika masuala ya Katiba ndiyo yaliyomfanya ashindwe kutaja ni Ibara au kifungu gani cha Katiba kilichokosewa katika maamuzi ya mkutano mkuu kuteua wagombea Urais.

"Polepole ameishia kusema tu desturi na utamaduni wa CCM haukufuatwa na kuzingatiwa huu ni ujinga wa kutoifahamu vizuri Katiba ya chama, napenda kumjulisha yeye na kikundi chake kilichojificha wafahamu kuwa taratibu zote zlifutwa na maamuzi yalizingatia matakwa ya katiba, wakasome mamlaka ya mkutano mkuu ibara ya 101 na 102 na vifungu vyake vidogo ndipo watakapojua uhalali wa maamuzi ya uteuzi wa wagombea hao."

Mgeja alisisitiza kuwa uteuzi ulikuwa wa uwazi, majadiliano na mashauriano ya wazee wa chama yaliyotolewa na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete yalikuwa bora kabisa.

Mgeja alimkumbusha Polepole miaka michache iliyopita chini ya Rais John Magufuli namna walivyosigina Katiba, kupora mamlaka ya CCM na walikigeuza chama kama kampuni yao binafsi.

"Tulishuhudia demokrasia ikikandamizwa, Uhuru wa kujieleza ulikandamizwa, vyombo vya habari na bunge vilikandamizwa watu walizurumiwa fedha zao kwenye Akaunti zao na kubambikiwa kodi ya hovyo, mliharibu mausiano ya nje ya kidiplomasia, matumizi mabaya ya fedha mpaka mkamfukuza C,A,G kwa kuwaambiwa mnavyofanya hovyo kwenye matumizi ya umma, leo unapata wapi ujasiri wa kukosoa uongozi wa Rais Samia?" alihoji Mgeja.

Alimtaka Polepole na genge lake kutambua kuwa kama walikuwa na mgombea wao wa urais imekula kwao, watafute kazi nyigine ya kufanya na CCM itapata ushindi wa kishindo.

Alimsihi Polepole, aende akatubu kwa upotoshaji na kupandikiza chuki miongoni mwa Watanzania.

Aidha, Mgeja alisema Polepole anafanya kusudi kuwapotosha wananchi kwani anajua matakwa ya katiba inavyotaka anapofariki Rais.
View attachment 3414455
Wameanza kutoka mmoja mmoja wakishatoka wote naombeni ipatikane picha yao ya pamoja.
 
Huyuhuyu alikimbukiaga Chadema uadilifu wake ni upi? NRNE
 
Qmmke Lodi Lofa akilí Kisoda!
 
Angekuwa na akili timamu angejiuliza kwanini amekwenda kutibiwa India ilihali Tanzania kuna maelfu ya hospitali.

Alipaswa aunge mkono Reform ili tupate viongozi sahihi watakaoboresha huduma za Afya ili yeye na wengine wapate huduma za afya zinazokidhi haja hata ukiwa Nzega, Kahama nk.

ndani ya mitaa ya Damascus-Syria.
Ugonjwa wa dhulma huo mkuu
 
View attachment 3414456
Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Khamis Mgeja amemshukia Balozi Hamphrey Polepole, akimtaka awaombe radhi wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kwa kauli aliyoitoa yenye lengo la kukivuruga chama.

Mgeja alisema hayo tarehe 21 Julai 2025 wakati akitoa maoni yake kuhusu kauli ya Polepole ambaye pamoja na mambo mengine alibeza utaratibu uliotumika kupitisha jina la Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea pekee wa kiti cha Urais kupitia CCM.

Katibu huyo wa zamani wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, pia alibeza uteuzi wa Dk. Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea mwenza na alibeza pia uteuzi wa Dk. Hussein Ally Mwinyi kuwa mgombea pekee wa urais visiwani Zanzibar.

Mgeja ambaye yuko nchini India akipatiwa matibabu alisema Rais Samia, Dk. Nchimbi Dk Mwinyi ni wagombea halali kupeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi mkuu Oktoba mwaka huu chama hicho kitapata ushindi wa kimbunga.

Amesema "Mimi Khamis Mgeja ni kada wa CCM, nimewahi kuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa Shinyanga na Njumbe wa NEC taifa, bado nipo nchini India kwa ajili ya matibabu. Pamoja na kwamba niko kwenye matibabu nimemsikiliza aliyekuwa Polepole akituhumu kwamba kuna mambo hayako sawa ndani ya chama na Serikali.

"Na hasa kubwa zaidi analalamikia mchakato wa kuwapata wagombea urais kupitia mkutano mkuu wa CCM kwamba uteuzi wao haukuwa halali na ulinajisiwa kwa kuvunja Katiba na anasema hadi leo hajawapongeza wagombea hao.

"Kwangu mimi naona Polepole haijui vizuri Katiba ya chama na inawezekana hajawahi kuisoma zaidi ya kufahanu utamaduni na desturi za chama tu jambo ambalo amejidhihirisha kuwa uwezo wake ni mdogo sana wa kuifahamu katiba ya CCM na kuitafasiri kwa usahihi," alisema Mgeja.

Aliongeza kuwa uelewa mdogo alionao Polepole katika masuala ya Katiba ndiyo yaliyomfanya ashindwe kutaja ni Ibara au kifungu gani cha Katiba kilichokosewa katika maamuzi ya mkutano mkuu kuteua wagombea Urais.

"Polepole ameishia kusema tu desturi na utamaduni wa CCM haukufuatwa na kuzingatiwa huu ni ujinga wa kutoifahamu vizuri Katiba ya chama, napenda kumjulisha yeye na kikundi chake kilichojificha wafahamu kuwa taratibu zote zlifutwa na maamuzi yalizingatia matakwa ya katiba, wakasome mamlaka ya mkutano mkuu ibara ya 101 na 102 na vifungu vyake vidogo ndipo watakapojua uhalali wa maamuzi ya uteuzi wa wagombea hao."

Mgeja alisisitiza kuwa uteuzi ulikuwa wa uwazi, majadiliano na mashauriano ya wazee wa chama yaliyotolewa na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete yalikuwa bora kabisa.

Mgeja alimkumbusha Polepole miaka michache iliyopita chini ya Rais John Magufuli namna walivyosigina Katiba, kupora mamlaka ya CCM na walikigeuza chama kama kampuni yao binafsi.

"Tulishuhudia demokrasia ikikandamizwa, Uhuru wa kujieleza ulikandamizwa, vyombo vya habari na bunge vilikandamizwa watu walizurumiwa fedha zao kwenye Akaunti zao na kubambikiwa kodi ya hovyo, mliharibu mausiano ya nje ya kidiplomasia, matumizi mabaya ya fedha mpaka mkamfukuza C,A,G kwa kuwaambiwa mnavyofanya hovyo kwenye matumizi ya umma, leo unapata wapi ujasiri wa kukosoa uongozi wa Rais Samia?" alihoji Mgeja.

Alimtaka Polepole na genge lake kutambua kuwa kama walikuwa na mgombea wao wa urais imekula kwao, watafute kazi nyigine ya kufanya na CCM itapata ushindi wa kishindo.

Alimsihi Polepole, aende akatubu kwa upotoshaji na kupandikiza chuki miongoni mwa Watanzania.

Aidha, Mgeja alisema Polepole anafanya kusudi kuwapotosha wananchi kwani anajua matakwa ya katiba inavyotaka anapofariki Rais.
View attachment 3414455
huwezi ukawa vizuri "üpstairs" ukapoteza pesa yako kwenda kutibiwa busha India.....wakati hapa nchini linatibika
 
Kwanini huyu mzee asijiangalie afya yake, kajiona alipofikia kwanza. Ya polepole hawezi kujibu hoja hata moja. Wamevuliwa nguo, wachutame tu.
Siyo rahisi.
Hawa wameneemeka binafsi; hayo ya taifa kwao hayawahusu.

Mimi namtahadharisha, asije akajikuta afya inazidi kuzorota zaidi ya ilivyo sasa kwa kuchangiwa na haya yanayomvuruga akili yake kwa sasa!
 
View attachment 3414456
Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Khamis Mgeja amemshukia Balozi Hamphrey Polepole, akimtaka awaombe radhi wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kwa kauli aliyoitoa yenye lengo la kukivuruga chama.

Mgeja alisema hayo tarehe 21 Julai 2025 wakati akitoa maoni yake kuhusu kauli ya Polepole ambaye pamoja na mambo mengine alibeza utaratibu uliotumika kupitisha jina la Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea pekee wa kiti cha Urais kupitia CCM.

Katibu huyo wa zamani wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, pia alibeza uteuzi wa Dk. Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea mwenza na alibeza pia uteuzi wa Dk. Hussein Ally Mwinyi kuwa mgombea pekee wa urais visiwani Zanzibar.

Mgeja ambaye yuko nchini India akipatiwa matibabu alisema Rais Samia, Dk. Nchimbi Dk Mwinyi ni wagombea halali kupeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi mkuu Oktoba mwaka huu chama hicho kitapata ushindi wa kimbunga.

Amesema "Mimi Khamis Mgeja ni kada wa CCM, nimewahi kuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa Shinyanga na Njumbe wa NEC taifa, bado nipo nchini India kwa ajili ya matibabu. Pamoja na kwamba niko kwenye matibabu nimemsikiliza aliyekuwa Polepole akituhumu kwamba kuna mambo hayako sawa ndani ya chama na Serikali.

"Na hasa kubwa zaidi analalamikia mchakato wa kuwapata wagombea urais kupitia mkutano mkuu wa CCM kwamba uteuzi wao haukuwa halali na ulinajisiwa kwa kuvunja Katiba na anasema hadi leo hajawapongeza wagombea hao.

"Kwangu mimi naona Polepole haijui vizuri Katiba ya chama na inawezekana hajawahi kuisoma zaidi ya kufahanu utamaduni na desturi za chama tu jambo ambalo amejidhihirisha kuwa uwezo wake ni mdogo sana wa kuifahamu katiba ya CCM na kuitafasiri kwa usahihi," alisema Mgeja.

Aliongeza kuwa uelewa mdogo alionao Polepole katika masuala ya Katiba ndiyo yaliyomfanya ashindwe kutaja ni Ibara au kifungu gani cha Katiba kilichokosewa katika maamuzi ya mkutano mkuu kuteua wagombea Urais.

"Polepole ameishia kusema tu desturi na utamaduni wa CCM haukufuatwa na kuzingatiwa huu ni ujinga wa kutoifahamu vizuri Katiba ya chama, napenda kumjulisha yeye na kikundi chake kilichojificha wafahamu kuwa taratibu zote zlifutwa na maamuzi yalizingatia matakwa ya katiba, wakasome mamlaka ya mkutano mkuu ibara ya 101 na 102 na vifungu vyake vidogo ndipo watakapojua uhalali wa maamuzi ya uteuzi wa wagombea hao."

Mgeja alisisitiza kuwa uteuzi ulikuwa wa uwazi, majadiliano na mashauriano ya wazee wa chama yaliyotolewa na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete yalikuwa bora kabisa.

Mgeja alimkumbusha Polepole miaka michache iliyopita chini ya Rais John Magufuli namna walivyosigina Katiba, kupora mamlaka ya CCM na walikigeuza chama kama kampuni yao binafsi.

"Tulishuhudia demokrasia ikikandamizwa, Uhuru wa kujieleza ulikandamizwa, vyombo vya habari na bunge vilikandamizwa watu walizurumiwa fedha zao kwenye Akaunti zao na kubambikiwa kodi ya hovyo, mliharibu mausiano ya nje ya kidiplomasia, matumizi mabaya ya fedha mpaka mkamfukuza C,A,G kwa kuwaambiwa mnavyofanya hovyo kwenye matumizi ya umma, leo unapata wapi ujasiri wa kukosoa uongozi wa Rais Samia?" alihoji Mgeja.

Alimtaka Polepole na genge lake kutambua kuwa kama walikuwa na mgombea wao wa urais imekula kwao, watafute kazi nyigine ya kufanya na CCM itapata ushindi wa kishindo.

Alimsihi Polepole, aende akatubu kwa upotoshaji na kupandikiza chuki miongoni mwa Watanzania.

Aidha, Mgeja alisema Polepole anafanya kusudi kuwapotosha wananchi kwani anajua matakwa ya katiba inavyotaka anapofariki Rais.
View attachment 3414455

Huyu Mzee anasahau kuwa hata Maza alikuwa pia sehemu ya huo huo uongozi.
 
Haya ndiyo majembe lowasa aliyowaletea chadema 2015. 😆😆
 
Nchi imeharibika sana, Chawa na kupe wa kila rika wapo kila Idara na taasisi .... Wakati Duma Boko akijiapiza kufanya maajabu ndani ya miaka mitatu ijayo ... Chama Chakavu kimejikita kwenye kukiuka katiba ya Taifa hili bila hata aibu.... 😳

Tungejua huyu mzee anaumwa nini kwanza ndiyo tungejua tuongee nini, tusijejikuta tunachangia mada ya mgonjwa wa akili.
 
Back
Top Bottom