GE2025 Khamis Mgeja amvaa Balozi Polepole, amtaka awaombe radhi Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wameanza kutoka mmoja mmoja wakishatoka wote naombeni ipatikane picha yao ya pamoja.
 
Huyuhuyu alikimbukiaga Chadema uadilifu wake ni upi? NRNE
 
Qmmke Lodi Lofa akilΓ­ Kisoda!
 
Ugonjwa wa dhulma huo mkuu
 
huwezi ukawa vizuri "ΓΌpstairs" ukapoteza pesa yako kwenda kutibiwa busha India.....wakati hapa nchini linatibika
 
Kwanini huyu mzee asijiangalie afya yake, kajiona alipofikia kwanza. Ya polepole hawezi kujibu hoja hata moja. Wamevuliwa nguo, wachutame tu.
Siyo rahisi.
Hawa wameneemeka binafsi; hayo ya taifa kwao hayawahusu.

Mimi namtahadharisha, asije akajikuta afya inazidi kuzorota zaidi ya ilivyo sasa kwa kuchangiwa na haya yanayomvuruga akili yake kwa sasa!
 

Huyu Mzee anasahau kuwa hata Maza alikuwa pia sehemu ya huo huo uongozi.
 
Haya ndiyo majembe lowasa aliyowaletea chadema 2015. πŸ˜†πŸ˜†
 
Nchi imeharibika sana, Chawa na kupe wa kila rika wapo kila Idara na taasisi .... Wakati Duma Boko akijiapiza kufanya maajabu ndani ya miaka mitatu ijayo ... Chama Chakavu kimejikita kwenye kukiuka katiba ya Taifa hili bila hata aibu.... 😳

 
Tungejua huyu mzee anaumwa nini kwanza ndiyo tungejua tuongee nini, tusijejikuta tunachangia mada ya mgonjwa wa akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…