GE2025 Khamis Mgeja amvaa Balozi Polepole, amtaka awaombe radhi Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huyo jama kwa alichokisema na polepole alichokisema hakuna utofauti. Jamaa kasema polepole hakutana ibara wala kanuni na yeye nilitegemea aseme hiyo ibara na kanuni ambayo mwenzake hakuisema, ila ameishia kuongea maneno yasiyo na hizo ibara wala kanuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…