Khan Younis huko Gaza imesawazishwa na makombola!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Katika Operation ya Gideon Chariots inayoendelea huko Khan Younis mji huo umesawazishwa na makombola yaliyokuwa yanapigwa katika mji huo kuharibu miundombinu ya kigaidi iliyokuwa imejengwa na magaidi wa Hamas.
 
Attachments

  • telegram_video.mp4
    776.3 KB
  • IMG_2972.jpeg
    154.4 KB · Views: 33
Katika Operation ya Gideon Chariots inayoendelea huko Khan Younis mji huo umesawazishwa na makombola yaliyokuwa yanapigwa katika mji huo kuharibu miundombinu ya kigaidi iliyokuwa imejengwa na magaidi wa Hamas.
Safi sana. Ni kuwapelekea moto mbele na nyuma. Hakuna kupumzika hawa panya wajifunze kukaa kwa kutulia.
 
Katika Operation ya Gideon Chariots inayoendelea huko Khan Younis mji huo umesawazishwa na makombola yaliyokuwa yanapigwa katika mji huo kuharibu miundombinu ya kigaidi iliyokuwa imejengwa na magaidi wa Hamas.
Sawa Mfalme Zumaridi tumekusikia nenda huko kwa mayahudi ukaolewe
 
Bandari nyingine imefungwa na wanaume sasa hii ndio bandari kuu kwa bongo Ni kama dar port ifungwe hapo m.e hapata poa bila cancer mzayuni kutolewa

Yemeni Armed Forces Announce Naval Blockade on Haifa Port in Response to Israeli Aggression
➖
🇾🇪|🤔 Statement by the Yemeni Armed Forces – May 19, 2025

In the Name of Allah, the Most Gracious, the Most Merciful

"Allah Almighty says: {And surely Allah will support those who support Him. Indeed, Allah is Powerful and Exalted in Might} — The Almighty has spoken the truth."

In response to the Zionist enemy’s escalating brutal aggression against Gaza—marked by daily massacres and an unprecedented genocide—and its continued blockade and starvation policies, the Yemeni Armed Forces declare, by Allah’s grace, a naval blockade on the Port of Haifa.

All companies with vessels in or en route to Haifa are warned that the port is now a military target. This follows our successful blockade of Umm al-Rashrash (Eilat), which has been rendered inoperative.

We affirm that all measures—military operations, air and naval bans—will persist until the aggression ceases and the siege on Gaza is lifted.

"Allah is sufficient for us, and He is the best disposer of affairs."
Long live free and honorable Yemen. Victory to Yemen and the Ummah’s free people.
Sana’a, 21 Dhul-Qi’dah 1446 AH / May 19, 2025
➖
🌟@DEQNEWS
 
Sasa mpaka meli kubadilishana zimepigwa marufuku maana yake hakuna kitu kitafanyika kwenye port ya haifa

🇾🇪🔴🔻Yemeni Armed forces:
—
Ships are prohibited from loading or unloading to and from the port of Haifa, whether directly or indirectly, including transfer from one ship to another. This decision will take effect on May 20, 2025, at 12:01 AM Sana'a time, which is equivalent to May 19 at 9:01 PM.

@AlHaqNews
 
Kila nikianza kupata huruma kwa kipigo mnachopokea cha mbwa, nakutana na mabango yenu kama haya yaliyojaa kiburi, sawa basi endeleeni kupigwa hadi damu iwatoke maskioni, hiyo dini ya muarabu iliyobuniwa juzi inawatesa sana.
 
Huruma gani wewe uliyonayo? Kila siku unatamani gaza yote wafe?
 
Katika Operation ya Gideon Chariots inayoendelea huko Khan Younis mji huo umesawazishwa na makombola yaliyokuwa yanapigwa katika mji huo kuharibu miundombinu ya kigaidi iliyokuwa imejengwa na magaidi wa Hamas.
Ayatola yuko kwenye kasri salama salimini huku akiwaambia watu wa gaza watalindwa na mungu wao. Halafu ataifuta Israel.
 
IDF wamesema kuna options ipo mezani ya boots on ground kwa Houthi.. mwanzoni huwa hamuamini ila ikianza mnaanza kulia lia
 
Huruma gani wewe uliyonayo? Kila siku unatamani gaza yote wafe?
Waambie kwanza Hamas wawaachie kwanza mateka wote ndipo na sisi huruma itaanza kuja!!! Yaani ninyi mnataka tu kuhurumiwa wakati vitendo vyenu ni vya kikatili hiyo haiingii akilini. Kama kupigwa acha pigwę tu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…