Khan Younis huko Gaza imesawazishwa na makombola!!

Khan Younis huko Gaza imesawazishwa na makombola!!

Huruma gani wewe uliyonayo? Kila siku unatamani gaza yote wafe?

Nimekua natamani mgaragazwe ila mara moja moja nikitazama mapicha naanza kuwahurumia halafu hapo hapo nakutana na hiki kiburi chenu, ndio naipongeza Israel zaidi kwa kupiga.
Mlipoteka watoto wa Wayahudi na kuwaua mlitegemea muimbiwe mapambio, ifahamike Wayahudi ni makatili, mpaka sasa mumepata darasa.
 
Jana niliona kwenye Al Jazeera jinsi wanawake wakigombea chakula yaan inasikitisha maisha yao hiyo vita itaisha lini jaman
Halaf habar zinasema misaada inatumwa ila viongozi wanachukua pesa na kwenda kununua silaha Kwa ajil ya mapambano ila waarabu khaaaa
 
Waambie kwanza Hamas wawaachie kwanza mateka wote ndipo na sisi huruma itaanza kuja!!! Yaani ninyi mnataka tu kuhurumiwa wakati vitendo vyenu ni vya kikatili hiyo haiingii akilini. Kama kupigwa acha pigwę tu!!!
Huruma ya binadamu si kitu, tunajua hili somo makafiri hawana hivyo sisi tunahitaji huruma ya mwenyezi Mungu tu...lakini sisi ni Jadi yetu kuhururumia watu kwasababu hatuangalii faida ya duniani pekee ona mateka wenu wanavyotaka wanacheka mpaka wanawabusu Al Qasam Raha iliyoje? Mpaka Netanyau anaona wivu
 
Jana niliona kwenye Al Jazeera jinsi wanawake wakigombea chakula yaan inasikitisha maisha yao hiyo vita itaisha lini jaman
Halaf habar zinasema misaada inatumwa ila viongozi wanachukua pesa na kwenda kununua silaha Kwa ajil ya mapambano ila waarabu khaaaa
Wanaenda kununua silaha kwa kupitia njia ipi ili hali njia zote zimeshikiliwa na myahudi?.
 
Nimekua natamani mgaragazwe ila mara moja moja nikitazama mapicha naanza kuwahurumia halafu hapo hapo nakutana na hiki kiburi chenu, ndio naipongeza Israel zaidi kwa kupiga.
Mlipoteka watoto wa Wayahudi na kuwaua mlitegemea muimbiwe Qewmapambio, ifahamike Wayahudi ni makatili, mpaka sasa mumepata darasa.
Hivi wewe naweza kuupa darsa uislamu? Hivi vita vinavyopiganwa havijafika hata theluthi ya vita ambavyo uislamu imepitia na makafiri ya enzi hizo hapo ni maigizo tu yanaendelea mwaka mzima anahangaika na mtu mwenye machine gan tu.
 
Wanaenda kununua silaha kwa kupitia njia ipi ili hali njia zote zimeshikiliwa na myahudi?.
Bro njia zipo nyingi mno myahudi anaranda randa tu pale hajui afanye nini kichaa kikipanda anaua kila aliye mbele yake anarudia cycle ile ile
 
Hivi wewe naweza kuupa darsa uislamu? Hivi vita vinavyopiganwa havijafika hata theluthi ya vita ambavyo uislamu imepitia na makafiri ya enzi hizo hapo ni maigizo tu yanaendelea mwaka mzima anahangaika na mtu mwenye machine gan tu.
Tatizo la wayahudi wana huruma sana na ndicho Hamas anatomia for Granted!!
 

Attachments

  • IMG_20250519_091846_559.jpg
    IMG_20250519_091846_559.jpg
    162 KB · Views: 20
— ❗️🇮🇱 NEW: Yair Golan, head of Israel's Democratic Party, says Israel is 'killing children as a hobby.'

@Middle_East_Spectator
 
Marekani anaelewa vitendo wewe wa mchamba wima huwezi kuambua kitu hapo
Samahani ndugu yangu nikuulize swali....a silly question. Hivi yale mavazi wanayovaa viongozi wa Saudia na Qatar na Kuwait na UAE ni mavazi ya kitamaduni ya kiarabu au nimavazi ya kiislamu? Kwa nn rais wa Syria na Misri na Mohamed Abbas na wengine wengi hawavai japokuwa ni waarabu nani waislamu. MSAADA KWENYE TUTA PLZ
 
Samahi ndugu yangu nikuulize swali....a silly question. Hivi yale mavazi wanayovaa viongozi wa Saudia na Qatar na Kuwait na UAE ni mavazi ya kitamaduni ya kiarabu au nimavazi ya kiislamu? Kwa nn rais Syria na Misri na Mohamed Abbas na wengine wengi hawavai japokuwa ni waarabu nani waislamu. MSAADA KWENYE TUTA PLZ
Uchi wa muislam mume ni magoti mpaka kitovu, uchi wa muislam mke ni mwili mzima kasoro vitanga vya mikono na miguu, sasa hata ukivaa ngozi hatuna uniform
 
Huyo mbunge keshapewa vidonge vyake na kaambiwa atengue kauli yake na aliombe msamaha Jeshi ama sivyo ajiuzuru ubunge!!!
 

Attachments

  • IMG_2979.jpeg
    IMG_2979.jpeg
    963.4 KB · Views: 18
Marekani anaelewa vitendo wewe wa mchamba wima huwezi kuambua kitu hapo
Samahani ndugu yangu nikuulize swali....a silly question. Hivi yale mavazi wanayovaa viongozi wa Saudia na Qatar na Kuwait na UAE ni mavazi ya kitamaduni ya kiarabu au nimavazi ya kiislamu? Kwa nn rais Syria na Misri na Mohamed Abbas na wengine wengi hawavai japokuwa ni waarabu nani waislamu. MSAADA KWENYE TUTA PL
 
Unawatetea sana lakini 90% wako hivyo
 
Back
Top Bottom