Huruma gani wewe uliyonayo? Kila siku unatamani gaza yote wafe?
Huruma ya binadamu si kitu, tunajua hili somo makafiri hawana hivyo sisi tunahitaji huruma ya mwenyezi Mungu tu...lakini sisi ni Jadi yetu kuhururumia watu kwasababu hatuangalii faida ya duniani pekee ona mateka wenu wanavyotaka wanacheka mpaka wanawabusu Al Qasam Raha iliyoje? Mpaka Netanyau anaona wivuWaambie kwanza Hamas wawaachie kwanza mateka wote ndipo na sisi huruma itaanza kuja!!! Yaani ninyi mnataka tu kuhurumiwa wakati vitendo vyenu ni vya kikatili hiyo haiingii akilini. Kama kupigwa acha pigwę tu!!!
Wanaenda kununua silaha kwa kupitia njia ipi ili hali njia zote zimeshikiliwa na myahudi?.Jana niliona kwenye Al Jazeera jinsi wanawake wakigombea chakula yaan inasikitisha maisha yao hiyo vita itaisha lini jaman
Halaf habar zinasema misaada inatumwa ila viongozi wanachukua pesa na kwenda kununua silaha Kwa ajil ya mapambano ila waarabu khaaaa
Hivi wewe naweza kuupa darsa uislamu? Hivi vita vinavyopiganwa havijafika hata theluthi ya vita ambavyo uislamu imepitia na makafiri ya enzi hizo hapo ni maigizo tu yanaendelea mwaka mzima anahangaika na mtu mwenye machine gan tu.Nimekua natamani mgaragazwe ila mara moja moja nikitazama mapicha naanza kuwahurumia halafu hapo hapo nakutana na hiki kiburi chenu, ndio naipongeza Israel zaidi kwa kupiga.
Mlipoteka watoto wa Wayahudi na kuwaua mlitegemea muimbiwe Qewmapambio, ifahamike Wayahudi ni makatili, mpaka sasa mumepata darasa.
Bro njia zipo nyingi mno myahudi anaranda randa tu pale hajui afanye nini kichaa kikipanda anaua kila aliye mbele yake anarudia cycle ile ileWanaenda kununua silaha kwa kupitia njia ipi ili hali njia zote zimeshikiliwa na myahudi?.
Sijajua mtangazaj alisema Ivo kwamba misaada inakuja ila wanachukua kwenda kumnunulia silahaWanaenda kununua silaha kwa kupitia njia ipi ili hali njia zote zimeshikiliwa na myahudi?.
Tatizo la wayahudi wana huruma sana na ndicho Hamas anatomia for Granted!!Hivi wewe naweza kuupa darsa uislamu? Hivi vita vinavyopiganwa havijafika hata theluthi ya vita ambavyo uislamu imepitia na makafiri ya enzi hizo hapo ni maigizo tu yanaendelea mwaka mzima anahangaika na mtu mwenye machine gan tu.
Huruma ya kuua watoto? Angalia dhulma hiiTatizo la wayahudi wana huruma sana na ndicho Hamas anatomia for Granted!!
Samahani ndugu yangu nikuulize swali....a silly question. Hivi yale mavazi wanayovaa viongozi wa Saudia na Qatar na Kuwait na UAE ni mavazi ya kitamaduni ya kiarabu au nimavazi ya kiislamu? Kwa nn rais wa Syria na Misri na Mohamed Abbas na wengine wengi hawavai japokuwa ni waarabu nani waislamu. MSAADA KWENYE TUTA PLZMarekani anaelewa vitendo wewe wa mchamba wima huwezi kuambua kitu hapo
Uchi wa muislam mume ni magoti mpaka kitovu, uchi wa muislam mke ni mwili mzima kasoro vitanga vya mikono na miguu, sasa hata ukivaa ngozi hatuna uniformSamahi ndugu yangu nikuulize swali....a silly question. Hivi yale mavazi wanayovaa viongozi wa Saudia na Qatar na Kuwait na UAE ni mavazi ya kitamaduni ya kiarabu au nimavazi ya kiislamu? Kwa nn rais Syria na Misri na Mohamed Abbas na wengine wengi hawavai japokuwa ni waarabu nani waislamu. MSAADA KWENYE TUTA PLZ
Samahani ndugu yangu nikuulize swali....a silly question. Hivi yale mavazi wanayovaa viongozi wa Saudia na Qatar na Kuwait na UAE ni mavazi ya kitamaduni ya kiarabu au nimavazi ya kiislamu? Kwa nn rais Syria na Misri na Mohamed Abbas na wengine wengi hawavai japokuwa ni waarabu nani waislamu. MSAADA KWENYE TUTA PLMarekani anaelewa vitendo wewe wa mchamba wima huwezi kuambua kitu hapo
Daaah! Naanza kuelewa kuna shida mahaliUchi wa muislam mume ni magoti mpaka kitovu, uchi wa muislam mke ni mwili mzima kasoro vitanga vya mikono na miguu, sasa hata ukivaa ngozi hatuna uniform