Siri ya sifuri
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,619
- 2,272
Unazingua mkuu! Hiyo huruma yako inamanufaa gani kwa wapalestina wanaoteswa na kuuliwa!?Kila nikianza kupata huruma kwa kipigo mnachopokea cha mbwa, nakutana na mabango yenu kama haya yaliyojaa kiburi, sawa basi endeleeni kupigwa hadi damu iwatoke maskioni, hiyo dini ya muarabu iliyobuniwa juzi inawatesa sana.
Oct 07,2023 walipovamia Israel na kuua watu 1,200 na kuteka wengine 251 wewe ulitarajia Majeshi ya Israel yaanze kuwagawia Halua na Tende? Waache I wavune walichokipanda Oct 07,2023!,Unazingua mkuu! Hiyo huruma yako inamanufaa gani kwa wapalestina wanaoteswa na kuuliwa!?
Why most of Christians they don't now how to speak and spell well the English and kiswahili ....kombola kombolaKatika Operation ya Gideon Chariots inayoendelea huko Khan Younis mji huo umesawazishwa na makombola yaliyokuwa yanapigwa katika mji huo kuharibu miundombinu ya kigaidi iliyokuwa imejengwa na magaidi wa Hamas.
Sawa Mfalme Zumaridi tumekusikia nenda huko kwa mayahudi ukaolewe
Jana niliona kwenye Al Jazeera jinsi wanawake wakigombea chakula yaan inasikitisha maisha yao hiyo vita itaisha lini jaman
Halaf habar zinasema misaada inatumwa ila viongozi wanachukua pesa na kwenda kununua silaha Kwa ajil ya mapambano ila waarabu khaaaa
Unazingua mkuu! Hiyo huruma yako inamanufaa gani kwa wapalestina wanaoteswa na kuuliwa!?
😹😹😹 umeona Hadi waarabu unawagawia!!Maarabu hayana akili. Ni kama mafisi tu yanakulana hata yenyewe kwa yenyewe
We mbona uliolewa ukiwa std 4 kwanini hutaki wenzio waolewe? Mabwana wote unawataka wewe acha wivu basi…. Lione na msura wake mkomao paka carolite 😹😹😹Na nyie jamaa huwa mnaona kuolewa ndo kila kitu. Jamaa anakupa akili hutaki. Unawaza kuolewa. Hampendi shule kabisa nyie
Nataka uwe unafuatilia kila posts au comments zangu. Nlikuambia mi na kuweka wazi kisha nakuacha unatoa povu tu kila ukiniona unajisikia kizunguzungu. Ili uache tabia ya kupenda kuwa mwanamke.We mbona uliolewa ukiwa std 4 kwanini hutaki wenzio waolewe? Mabwana wote unawataka wewe acha wivu basi…. Lione na msura wake mkomao paka carolite 😹😹😹
Katibu maradhi ya mkd wako kwanza ndo uje ujichekeshe… mimi na wewe nani anataka uanamke paka wewe…!!Nataka uwe unafuatilia kila posts au comments zangu. Nlikuambia mi na kuweka wazi kisha nakuacha unatoa povu tu kila ukiniona unajisikia kizunguzungu. Ili uache tabia ya kupenda kuwa mwanamke.
Nataka uwe unafuatilia kila posts au comments zangu. Nlikuambia mi na kuweka wazi kisha nakuacha unatoa povu tu kila ukiniona unajisikia kizunguzungu. Ili uache tabia ya kupenda kuwa mwanamke.Katibu maradhi ya mkd wako kwanza ndo uje ujichekeshe… mimi na wewe nani anataka uanamke paka wewe…!!
"Sisi" dah nisiseme mengi nitamkosea Mungu.Waambie kwanza Hamas wawaachie kwanza mateka wote ndipo na sisi huruma itaanza kuja!!! Yaani ninyi mnataka tu kuhurumiwa wakati vitendo vyenu ni vya kikatili hiyo haiingii akilini. Kama kupigwa acha pigwę tu!!!
Yule babu amewaingiza mkenge watu wa GazaAyatola yuko kwenye kasri salama salimini huku akiwaambia watu wa gaza watalindwa na mungu wao. Halafu ataifuta Israel.
Ndio nchi pekee inayoweza kuongea lugha moja na magaidiIla tuache utani myahudi anapiga.....
Sijui kwa kweli!Kumbe hujui kuwa Hamas wana Mahandaki yanayotobokezea?