Khanga ya leo Radio One: Ni kweli lakini hayakuhusu

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
21,741
Reaction score
26,735
Kama kichwa kinavyojieleza na ni wakati wake, NI KWELI LAKINI HAYAKUHUSU. Hayo ndiyo maneno ya khanga ya leo Radio One Stereo.

Ni kweli hakuonekana ofisini kwa muda mrefu lakini inakuhusu nini? Wenyewe wamekasirika kwa sababu wanajua hawakuhusu.

NAWE TAFUTA KHANGA UWAJIBU.
 
Kama Makamu wa Rais ametoweka hajulikani alipo wewe inakuhusu nini? Wenyewe hawataki huenda hawapo kwa ajili yako kama unavyodhani, endelea na maisha yako achana nao.
 
Kama kichwa kinavyojieleza na ni wakati wake, NI KWELI LAKINI HAYAKUHUSU. Hayo ndiyo maneno ya khanga ya leo Radio One Stereo.
Ni kweli hakuonekana ofisini kwa muda mrefu lakini inakuhusu nini? Wenyewe wamekasirika kwa sababu wanajua hawakuhusu.

NAWE TAFUTA KHANGA UWAJIBU.
Kwani yeye ni makamu kwa wasiomuhusu?
 
Back
Top Bottom