stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,759
sijui Kitime alipotelea wapi jamani[/QUOTE
Hata mimi sijui nilikuwa namkubali anajua muziki na ana majibu ya staha.
Dah sipatii picha hilo rungu la Hashim wanalimudu vp,wanawake noma sana.Ka Jokate ukikaangalia kwa nje unaweza ukakachukulia poa,lakin kaliweza kuzamisha Rungu la huyu jamaa.Kila la kheri Madam kwenye mapambano dhidi ya rungu
mkuu wewe umejuaje kuwa hasheem ana rungu kubwa?
baada ya kutamba huko majuu mchezaji maarufu wa mpira wa kikapu Hasheen Thabeet sasa awa Judge EBSS 2013
Je! Nipicha gani unayoipata toka kwa Thabeet