Khasheem Thabeet huyoo EBSS

Khasheem Thabeet huyoo EBSS

huyu jamaa analewa sifa tu, muda wa kufanya huo ujinga wa EBSS angekuwa anajifua kwaajili ya NBA. wenzake wanajifua yeye anashinda na malaya wa bongo
 
hilo ushuzi kabisa...
majuzi hapa Trace Mc G amestahafu kwa heshima zoote, sasa sijui lenyewe kama litafika kwenye umri wa kustahafu
 
Dah sipatii picha hilo rungu la Hashim wanalimudu vp,wanawake noma sana.Ka Jokate ukikaangalia kwa nje unaweza ukakachukulia poa,lakin kaliweza kuzamisha Rungu la huyu jamaa.Kila la kheri Madam kwenye mapambano dhidi ya rungu

mkuu wewe umejuaje kuwa hasheem ana rungu kubwa?
 
nikweli huu ni muda muafaka wa Thabeet kufanya mazoezi badala ya kushika Mic
 
Ndio maana Hasheem haimprove kwenye kiwango cha kikapu. Huu muda ambao wapo likizo (off-season) wachezaji wengi (haswa wale wazuri) wanautumia kufanya mazoezi na kurekebisha dosari ndogo ndogo ila yeye kila wakati yupo Tz. Anyway nisiseme mengi nisionekane "hater". Kama yeye karidhika na kiwango alicho fikia basi. Afterall tayari ametoka mbali toka Bongo hadi kuingiza mamilioni ya NBA labda kuwa the best sio nia yake.
 
baada ya kutamba huko majuu mchezaji maarufu wa mpira wa kikapu Hasheen Thabeet sasa awa Judge EBSS 2013
Je! Nipicha gani unayoipata toka kwa Thabeet


Usipotoshe Umma...
Lini Hashimu aliwahi kutamba Marekani?
hivi unafanya masihara na ile nchi eeh?
 
Tuwekeeni Cv yake hapa huenda mwenzenu alishakula nondo za music tehe!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom