Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Nimesoma humu JF kuwa Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Kheri James ameomba radhi kwa mambo yaliyofanywa na kuomba 'maridhiano' ya kitaifa ili tusonge mbele pamoja chini ya Rais wetu mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan.
Nikasoma tena humuhumu kuwa Kheri James huyohuyo amesema kuwa msamaha aliouomba ni wake binafsi na si wa UVCCM kama taasisi.
Kuomba radhi ni jambo la kiungwana na kuungwa mkono. Kuomba radhi hufuatiwa na kukubaliwa au kukataliwa kwa radhi husika. Lakini, radhi lazima ianike mambo mahsusi yahusuyo radhi hiyo.
Kwa waliomsikia Kheri James akizungumza au kusoma andiko lake halisi, ameainisha mambo gani hasa aliyoyaombea radhi? Mabaya/makosa/maovu gani ambayo ameyaombea radhi?
Mwigulu Nchemba aione kwenye jalada.1. Kupotea kwa Ben Saanane.
2. Kupotea kwa Azory Gwanda
3. Kupigwa Risasi Tundu Lissu
4. Kuteka na Kutesa sana Watesi
5. Kutishia Maisha ya Wakosoaji
6. Maiti nyingi kuelea Ufukweni
7. Kuwamaliza Wapinzani nchini
Kwa Uratibu Mkuu wa aliyelala Kimoja.
Kheeee????!!!Msamaha uambatane na kuweka wazi jina lake halisi ni nani, ilikuaje akajibatiza tunaomjua hilo sio jina lake.
Makosa yake yote yanajulikana hivyo hakuna haja ya kuyatajaNimesoma humu JF kuwa Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Kheri James ameomba radhi kwa mambo yaliyofanywa na kuomba 'maridhiano' ya kitaifa ili tusonge mbele pamoja chini ya Rais wetu mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan.
Nikasoma tena humuhumu kuwa Kheri James huyohuyo amesema kuwa msamaha aliouomba ni wake binafsi na si wa UVCCM kama taasisi.
Kuomba radhi ni jambo la kiungwana na kuungwa mkono. Kuomba radhi hufuatiwa na kukubaliwa au kukataliwa kwa radhi husika. Lakini, radhi lazima ianike mambo mahsusi yahusuyo radhi hiyo.
Kwa waliomsikia Kheri James akizungumza au kusoma andiko lake halisi, ameainisha mambo gani hasa aliyoyaombea radhi? Mabaya/makosa/maovu gani ambayo ameyaombea radhi?
Hata wewe unasema haya? Leo siku ya nne tu tangu tuzike ujueAliona vijana wengine ni takataka akawadharau na kuwatolea maneno ya kejeli sababu alijivunia madaraka ya mjomba wake na kuona wengine si watu.
Sasa anaomba radhi kwa matusi alivyokuwa anatukana wenzake alijivunia mjomba wake.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Mkuu Shalom!Hawa watoto walidekezwa sana wakajenga jeuri kisa watawala ni watu wao wa karibu hawakuweka akiba ya maneno, mambo yamebadilika wakuwakingia kifua hayupo tena muda siyo rafiki tena.
Hivi kwa issue za kina Alphonce Mawazo, Azirony Gwanda, Ben sanane kutekwa kwa Roma, mdude etc anadhani anaweza eleweka kirahisi kweli?Nimesoma humu JF kuwa Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Kheri James ameomba radhi kwa mambo yaliyofanywa na kuomba 'maridhiano' ya kitaifa ili tusonge mbele pamoja chini ya Rais wetu mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan.
Nikasoma tena humuhumu kuwa Kheri James huyohuyo amesema kuwa msamaha aliouomba ni wake binafsi na si wa UVCCM kama taasisi.
Kuomba radhi ni jambo la kiungwana na kuungwa mkono. Kuomba radhi hufuatiwa na kukubaliwa au kukataliwa kwa radhi husika. Lakini, radhi lazima ianike mambo mahsusi yahusuyo radhi hiyo.
Kwa waliomsikia Kheri James akizungumza au kusoma andiko lake halisi, ameainisha mambo gani hasa aliyoyaombea radhi? Mabaya/makosa/maovu gani ambayo ameyaombea radhi?
Ni yapi Mkuu?Makosa yake yote yanajulikana hivyo hakuna haja ya kuyataja
[emoji15][emoji15][emoji15] he !!! Jiana lake halisi ni nani?Msamaha uambatane na kuweka wazi jina lake halisi ni nani, ilikuaje akajibatiza tunaomjua hilo sio jina lake.