Kheri James ameomba radhi kwa mambo/makosa/ mabaya gani aliyoyafanya/aliyoshiriki kuyafanya au aliyoyajua yamefanyika?

Kheri James ameomba radhi kwa mambo/makosa/ mabaya gani aliyoyafanya/aliyoshiriki kuyafanya au aliyoyajua yamefanyika?

Hawa watoto walidekezwa sana wakajenga jeuri kisa watawala ni watu wao wa karibu hawakuweka akiba ya maneno, mambo yamebadilika wakuwakingia kifua hayupo tena muda siyo rafiki tena.
Wenye chama chao wameanza kurudi,
wafundisheni itikadi hao wakuja..
 
Kifo cha Magufuli Mungu amefanya kitu kikubwa sana ambacho hukuna ajuaye hadi sasa nini maana yake na hata wale wanaojiita watumishi wa Mungu waliokuwa wanamsujudia Magufuli kama Mungu nao wako gizani.
Imeloa! Acha aisee! Mbona una roho mbaya hivyo? Ila una maono Sana!
 
Nimesoma humu JF kuwa Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Kheri James ameomba radhi kwa mambo yaliyofanywa na kuomba 'maridhiano' ya kitaifa ili tusonge mbele pamoja chini ya Rais wetu mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan.

Nikasoma tena humuhumu kuwa Kheri James huyohuyo amesema kuwa msamaha aliouomba ni wake binafsi na si wa UVCCM kama taasisi.

Kuomba radhi ni jambo la kiungwana na kuungwa mkono. Kuomba radhi hufuatiwa na kukubaliwa au kukataliwa kwa radhi husika. Lakini, radhi lazima ianike mambo mahsusi yahusuyo radhi hiyo.

Kwa waliomsikia Kheri James akizungumza au kusoma andiko lake halisi, ameainisha mambo gani hasa aliyoyaombea radhi? Mabaya/makosa/maovu gani ambayo ameyaombea radhi?

Kwani matamko yake ya kuudhi aliyatoa wakati gani mpaka aje kuomba sahivi msamaha,
 
Kifo cha Magufuli Mungu amefanya kitu kikubwa sana ambacho hukuna ajuaye hadi sasa nini maana yake na hata wale wanaojiita watumishi wa Mungu waliokuwa wanamsujudia Magufuli kama Mungu nao wako gizani.
Wale njaa tuu
Watanyooka Sasa
 
Hawa watoto walidekezwa sana wakajenga jeuri kisa watawala ni watu wao wa karibu hawakuweka akiba ya maneno, mambo yamebadilika wakuwakingia kifua hayupo tena muda siyo rafiki tena.
Mataga mwenzako huyo
Mwaka huu lazima mtage
 
Mbo
Huenda lile tatizo lililokuja kumpata Abdallah Zombe baada ya mauaji ya wale Wafanyabiashara wa madini kutoka Mahenge, la kuweweseka na kuongea mwenyewe njiani kama mwendawazimu! limeanza kumnyemelea na yeye.
Mbona naskia huyo jamaa alishang'ata shuka,au liwehuka kwanza?
 
Kurasa mpya imefunguliwa tutaona mengi sana
 
Back
Top Bottom